Search results

  1. mpuko

    #COVID19 Wachaga acheni kusafirisha maiti kwenda Kilimanjaro, mnachochea maambukizi ya Corona

    Ni suala la muda tu. Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
  2. mpuko

    TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

    Pole kwa changamoto unayopitia kwa mwanao. Mwenyezi MUNGU awe nawe na mtoto wakati wote. Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
  3. mpuko

    Nina Virusi vya UKIMWI ila naogopa kumwambia mume wangu maana yeye yupo salama

    Fafanua vizuri mkuu. Sijakuelewa. Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
  4. mpuko

    Tuliowahi kukamatwa ugoni tukutane hapa

    Nimecheka sanaa... Kuna ukweli na kuna la kujifunza hapa. Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
  5. mpuko

    Gharama ya kukodi bulldozer

    Unatoa 100'000/= kwa saa na bado diesel ni juu yako. Sikuwa najua hili.
  6. mpuko

    #COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    Thanks man. Blessings be on you.
  7. mpuko

    #COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    Ninaitumia, si iko kama chenga za chumvi?
  8. mpuko

    #COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    I'm fighting and with the help of our almighty GOD I'll win.
  9. mpuko

    #COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    Napambana na matibabu ya aina zote. Kizungu na kujifukiza. Lakini mwili unauma asikuambie mtu!
  10. mpuko

    #COVID19 Hadi sasa hakuna mkakati wa matumizi ya bima ya afya na mpango kuwasaidia wagonjwa wa Corona kupunguza gharama za matibabu

    Chukua tahadhari mkuu. Japo huwezi kujua mlango wa bahati/balaa. Mwenyezi MUNGU awalinde.
  11. mpuko

    #COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    Niko Mbeya na niko kitandani I'm suffering the pandemic!
  12. mpuko

    #COVID19 Hadi sasa hakuna mkakati wa matumizi ya bima ya afya na mpango kuwasaidia wagonjwa wa Corona kupunguza gharama za matibabu

    Nina siku 5 sasa, changamoto ni maumivu mwili mzima, mafua, kikohozi, kifua kuuma/kubana, kuchoka, mdomo kupoteza test yani hauhisi ladha wala harufu!
  13. mpuko

    Wachaga wakwe zangu poleni, ilikuwa wiki yenu kwa vituko!

    Nani kakuambia Alex Koroso ni Mchagga?
  14. mpuko

    Nataka kuhamia Botswana naomba muongozo

    Nimecheka kwa sauti. Ndio tunaupigapiga sasa. Karibu kusini mkuu...
  15. mpuko

    Niliposikia Magufuli kafa, nilihisi na mimi nimekufa - RC Chalamila

    Yametimia! Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
  16. mpuko

    Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

    Sijawahi kukutana na jitu jinga kama wewe, umekurupuka usingizini? Au hangover ya vile vipombe vya chupa za plastic? Shame on you!!! Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
  17. mpuko

    Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

    Faida ni kubwa sana. Ni kama mtu mwenye kisima cha maji nyumbani kwake halafu anauza na hatozwi Kodi! Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom