Search results

  1. W

    Mbunge MARTHA MLATA

    Nakubaliana na uteuzi wa JK kwa huyu mama albino. Kumekuwa na mauaji ya kutisha ya maalbino kwa imani za kishirikina siku za karibuni, na nadhani JK anataka kuona maalbino wanawakilishwa bungeni.
  2. W

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Mkuu Jasusi, Hii ya uuzaji wa madawa ya kulevya ndiyo nasikia leo ... makubwa haya! Website ya Bunge inaonyesha jamaa alikuwa Harvard 1975, lakini hawasememi lini alimaliza ... http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?PTerm=2005-2010&fpkey=30&vusername=GUEST%22)
  3. W

    Chenge ajiuzulu!

    Nakuunga mkono .... she is more than capable!
  4. W

    Chenge ajiuzulu!

    Wakuu, kama Chenge asingekuwa waziri kuna uwezekano mkubwa hii "kashfa" isingetolewa hadharani. Muungwana alifanya vizuri kumuacha ndani ya serikali ili awe "visible" zaidi.
  5. W

    Kesi ya Mahalu: Nani kilaza hapa?

    Mbangaizaji, Kuna taarifa kwamba hawa prosecutors wameshapewa "hongo"; ni competent lakini kwa sababu ya tamaa ya pesa, wanaamua "kushindwa kesi" .... hapo hakuna kesi; tumeshapigwa bao jingine.
  6. W

    Baraza jipya la Mawaziri kujulikana Feb 12

    Kuna taarifa kwamba JK anafikiria kuwateua Mh. Zitto na Mh. Rashid Mohamed kuwa katika baraza jipya la mawaziri .... inasemekana ndiyo sababu halijatangazwa bado; akiamua hivyo atawaita leo (kama bado hajawaita); ili kuweka mambo sawa .... vinginevyo kesho baraza ni CCM watupu.
  7. W

    Mizengo Pinda Waziri mkuu!

    ... ambapo kwa sifa hiyo, wewe una-qualify :)
  8. W

    Best Quote: "Hata ingekuwa JM ningemtosa"

    Hiyo imetoka Tanzanet ... hayo ni wishful thinking ya jamaa mmoja; siyo JK
  9. W

    Cabinet Baada Ya Lowassa: Waziri Mkuu Mpya Atakuwa Nani?

    Nitashangaa sana kama Anna Makinda atapewa hiyo nafasi ya u-PM ... inasemekana huyo mama hana hata mume; sasa mtu anayeshindwa "kuongoza" famlia yake ataweza kuongoza watu milioni 40??!!
  10. W

    Serikali Ya Mseto Tanzania?

    Bangusilo, ooh my goodness :) .... yaani nimecheka mpaka wife akafiri nimekuwa chizi:) .... halafu alama yako ni sacrificial lamb:)
  11. W

    Cabinet Baada Ya Lowassa: Waziri Mkuu Mpya Atakuwa Nani?

    Bin Mariam, are u serious???!!!
  12. W

    Best Quote: "Hata ingekuwa JM ningemtosa"

    Mh. Spika nimetafakari kwa kina sana jambo hili, nikajiuliza kulikoni mpaka watu wazima wakakaa na kuamua kufanya haya…nimetafakari sana na kugundua haya yote ni Uwaziri Mkuu…it is their wish which am going to grant…Mh. Spika nimetafakari sana jana usiku juu ya jambo hili, nimeamua kumuandikia...
  13. W

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    JK hawezi kumpa Mwakyembe u-PM: never!! ... sana sana anaweza kuambulia uwaziri au unaibu waziri. Mwakyembe ana uwezo sana lakini yuko the other side of the bench.
  14. W

    BoT Saga Unfolding: Ilikuwa Balali auwawe kwa sumu- Fununu !

    MKJJ, Tanzania na Marekani walisaini extradition treaty ... http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_United_States_extradition_treaties
  15. W

    Mhariri wa Mwanahalisi akatwa mapanga

    Taarifa ya uhakika ni kwamba serikali ndiyo inagharimia safari na matibabu; kama ambavyo hufanya kwa vingunge na watu wengine muhimu wanapopelekwa nje kwa matibabu. Hayo ni maagizo ya JK alipomtembelea mgonjwa.
  16. W

    JK: Sina mpango kuvunja Baraza

    Mimi bado naamini mabadiliko ya Baraza yanafanyiwa kazi na yatatangazwa. Nadhani JK hakutaka kuwapa "wasiwasi" mawaziri wake - idea ni kuwafanya wasi-lose concentration katika wajibu wao wa kila siku.
  17. W

    Kikwete anawakwepa watanzania wa USA - tena!

    Ina maana hao jamaa ndiyo wamelipa gharama zote i.e. usafiri, malazi pale Four Seasons, per-diem za ujumbe wake ??!!
  18. W

    Kikwete afagia tena ndani ya saa 24, Zamu hii amemng'oa Profesa Yadon Kohi

    Huyu mama anafaa kufanya kazi TFNC na siyo kamisheni ya Science & Technology .... jamani food science??!!
  19. W

    Dk. Ratian Bamwenda, Ang'olewa

    Yeye (Dr Bamwenda) amenukuliwa Tanzanet akisema: We intended to radically transform the organization into an internationally accredited Center of Excellence . We prepared new scientific frontiers, a Strategic & Implementation Plan, secured a gurantee for a extrnal grant to implent it ,and we...
  20. W

    Prof Pius Yanda ashinda zawadi ya Nobel

    Wakuu, Kwenye ile kamati iliyo-share nobel peace prize na Al Gore kuna watanzania wengine watatu (jumla wanne pamoja na Prof Yanda). Wengine ni Dr. Willy Makundi wa UC Berkerly,Marekani, Prof. Mwandosya na Prof. Katima.
Back
Top Bottom