Search results

  1. V

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    wohoooooooooooooooooooo !! sasa wasiharibu
  2. V

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    Kuna fan mmoja wa Ghana kabeba kibuyu kinatoa moshi, wanamuonesha kila saa ...sasa sijui Serbia wamekuja na juju zao hahahahah!
  3. V

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    angalau game inachangamsha maana Algeria ilinilaza!
  4. V

    Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

    Kutumia caucasians kama mfano unakuwa umekosea. Mfano hai na rahisi sana ni The Bush family (Baba na mtoto) and the Kennedy family in the U.S. (Karibu ukoo mzima hahaha) Mara nyingi ukizaliwa kwenye familia ya viongozi watoto huishia huko huko. Ni sawasawa tu na ukiwa umezaliwa kwenye familia...
  5. V

    World Cup 2010 SA: Match updates (From June 11)

    kweli yani vuvuzela zinaanza kunikera - Kama inzi au yule mbu aliyepita kwenye chandarua anakusumbua usiku kucha! Ila nilicheza na Bafana Bafana baada ya goliiiiiiii!
  6. V

    Brazil to play Tanzania in a friendly

    VIP TV on Justin.tv Jaribu justin tv
  7. V

    USPS package to Tanzania ? - Anybody

    Unatuma tu kawaida, ila kisizidi pound 4 - maana watakucharge customs. Unayemtumia atatumia a notification ( a blue or yellow card kwenye box) kwamba mzigo umefika, then unaenda posta ( the package section ambayo ipo mwisho wa posta mpya, nje kidogo ya jengo la posta - the space between posta...
Back
Top Bottom