Search results

  1. K

    Lowassa afanya kufuru nyingine, atumia milioni 270 Mwananchi Communication Ltd kumpaisha kisiasa

    vp mbona unaweweseka au na ww ndo umekula maharage ya wapi yale!!!! Mwacheni Lowassa bana
  2. K

    Kiukweli, Zitto ndiye aliyeinyanyua CHADEMA na kuwa chama kikuu cha upinzani

    what is hell of that! none sense CHADEMA sio mtu mmoja cjui mmekula maharage ya wapi nyie watu (why you dont think beyond that?
  3. K

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    KIUKWELI KWA TATHIMINI AMBAYO NIMEFANYA HUKU MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI HATA KAMA SIO MTAALAM SANA WA TAFITI ILA MHE; LOWASSA NDO THE BEST ANAEWEZA KUINUSURU CCM ISIKABIDHI MADARAKA KWA UKAWA,HII HAINA USHABIKI WA MLENGO WA TEAM LOWASSA HII NI HALI HALISI JAMAA ANAINFLUENCE SANA! KIUKWELI...
  4. K

    Interview uhamiaji (mkaguzi msaidizi) ni vyeti tu vinahusika au hadi barua ya mtendaji wa mtaa?

    Hallow great thinker hebu tusaidiane ni vitu gani vya kubeba kwenye interview iyo june 13 TAIFA maana tusije tafutiana fitina kwa kukosa barua ya mtendaji wa kijiji? Vp na mkande nje lazima uhusike? Mwenye uzoefu wa INTERVIEW iz tupeni maujanja
  5. K

    Wadau yamenikuta, chonde msaada wenu tafadhari

    Asante n dugu Kwa briefly info!
  6. K

    Wadau yamenikuta, chonde msaada wenu tafadhari

    sawa! ndugu bt f u've somethin' in ur mind concern' issue ilikuwa poa uweke apa kusudi tujue procja ziko vip maana hili tatizo hata wengine linaweza likawa linawakabili, hapa ni sehemu ya kusaidiana mawazo! hata ivo nashukuru kwa challenge yako!
  7. K

    Wadau yamenikuta, chonde msaada wenu tafadhari

    Ndugu nina miaka miwili kazini! dah sa apo nieleweshe kidogo unaandika barua utumishi/wizarani kuomba iyo categorization lakini ikipitia halmashauri kwa DEO na DED hao wanakusainia then unaituma mwenyewe au unaicha kwenye fail lako wao watume utumish/wizarani na utakuwa na uhakika gani kama...
  8. K

    Wadau yamenikuta, chonde msaada wenu tafadhari

    Asante Safety last bt nilitaka kujua categorization kama inawezekana kuomba utumishi/wizarani direct maana hii halmashauri wapo wazee conservative sana yaani ukitaka kujua A,B,C ya iyo kitu they just ignore you! yaani ni fitina tu sina Godfather wa kunisaidia zaidi ya mwazo yenu wadau! Asanten...
  9. K

    Wadau yamenikuta, chonde msaada wenu tafadhari

    Asante sana Aloreiya qwa constructive idea point taken!
  10. K

    Wadau yamenikuta, chonde msaada wenu tafadhari

    Mimi ni Mwl mwenye professional kama 3 iv na nimeajiriwa kama Mwl na kwa sasa nafundisha chaka moja hatari naomba msaada wenu kama nataka kufanya Categorization inakuwaje hapa maana halmashauri ambayo nipo ni fitina tupu mie nataka nibadilishe kazi nikiwa serikalini kwa kuomba hiyo...
  11. K

    Mhe.Tundu Lissu ndani ITV

    in tz nothn' impossible!
Back
Top Bottom