Search results

  1. B

    Ma house boy na wake za watu

    Uzinzi tu hata kama angetembea na kitambi meneja....!
  2. B

    Sijui nina mkosi

    Dogo kuzaliwa ukiwa maskini ni kawaida na liko nje ya uwezo wako lakini kufa ukiwa maskini ni juu yako ...think twice and never say never keep trying u will get it. belive youself go and get job>>>:cool2:
  3. B

    Ukigundua msanii unaempenda sana ni Shoga, je, hilo linaweza kupelekea upunguze ushabiki?

    Aisee na mimi nilidata baada ya kutafiti hizo taarifa.hawa jamaa kwao na=zan ku practise ushoga kwao ni hobby....
  4. B

    Huyu mwanaume jamani!

    Mimba inatakiwa kulelewa na watu wawili..,mfate hukohuko Arusha, msalimie na mwambie aache kukwepa majukumu..
  5. B

    Nahisi kubambikwa mimba peupe na huyu binti...

    Condoms bila AIDS yawezekana..???we unaulizia mtoto badala ya kuchek afya kwanza..nyambafu..
  6. B

    Mke wangu kafanya mapenzi na njemba kwenye kitanda tunacholalia

    kwahiyo mdau hawa majamaa ni mapunga asante kwa kunikumbusha kusoma nyakati laini tuwaombee kwa Mungu awarudi...
  7. B

    Mke wangu kafanya mapenzi na njemba kwenye kitanda tunacholalia

    Malalamiko yako kila mahali hata makazini, michezoni sembuse ndoa na malalamiko ni muhimu ili mambo yafanyike kwa ufanisi zaidi kuliko zamani amasivyo kungekuwa hakuna maendeleo yoyote lakini vilevile huu ni ushauri tu kwako na si lazima kuufata the decision is yours...
  8. B

    Mke wangu kafanya mapenzi na njemba kwenye kitanda tunacholalia

    Acha habari yako wewe,..kuoa ni jambo la kheri na baraka kwa Mwenyezi Mungu sasa wewe unataka kuzini hadi lini,..???Huo ni mfano mmoja mbaya katika milioni moja mizuri..
  9. B

    Mshahara wa Barmaid

    Aisee mada imenigusa kwa historia lakini mtoa mada kaichafua pale anapoita mabaamaid public toilet au anapoandika kwamba hawakatai wakitongozwa inamaana hawana mamlaka na bongo zao,hawajitambui for sure that is sex harassment charge and very bad offence but all in all wengi wao wanafanya kazi...
  10. B

    Ukigundua msanii unaempenda sana ni Shoga, je, hilo linaweza kupelekea upunguze ushabiki?

    Mi hapa cpat kigugumizi kabisa ninamchukia gafla na hata kazi zake sinunui but kama ni jamaa wangu wa karibu nitamwambia hiyo tabia sio nzuri na ku refer vitabu vya Mungu na inshallah Mwenyezi Mungu atamuona na kumrudi...Ni sawa na tajiri ambaye ulikuwa una mu admire uwe kama yeye but suddenly u...
  11. B

    Passion Lady ajifungua mtoto wa kiume

    Hongera Mama baby boy..Kumbuka kumlea katika maadili mema ya kitanzania, Mungu akutangulie.
  12. B

    Mshahara wa Barmaid

    Napata shida sana kuona baamaid anabakwa, anapigwa na pengine hata kuuwawa akitetea haki zake,.. na mara nyingi watu hawa huwa ni wakarimu wakati wa kutoa huduma na wanajitolea kufanya kazi hadi usiku mnene lakini malipo yake ni kilio kwao mshahara kiduchu but nashauri mabaamaid wasikate tamaa...
  13. B

    CONFIRMED: Wanaume wengi wanatoka nje ya ndoa baada ya mama kujifungua hadi 6 months

    Simply my observation ingawa ujaweka source ya huo utafiti kuna kaji harufu ka ukweli kutokana na sababu zako tajwa hapo juu hasahasa kale kapoint ka mama kuwa bize na mtoto na kusahau mumewe na hili nimeli observe kwa a lots of ma friends they are complains not being care by their wife once...
  14. B

    Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

    Aisee huyo mwanaume mwenzetu ametudhalilisha..kimantiki ukifanya hivyo kwa mkewe manake ndoa tena hakuna,.ni talaka tosha na inaonesha ampendi uwezi kuumgeuza mke wako kama unampenda kwa dhati....au mumewe ana matatizo ya akili i don't know what to say but nazani mwanamke akaripoti kwenye vituo...
  15. B

    Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    Shemeji vipi unamtamani mke wangu..:shock::shock:?? Dada ako nakaa naye fleshy tu ..Tulia uitwe mjomba..
  16. B

    Kisa sh. 100 ukatokea bonge la ugomvi

    Mi sikuchukii ndugu yangu ingawa umenitusi na katika huu ulimwengu wa wastaarabu ambao wewe haupo nakusamehe, najua ujui ulitendalo,. but i cannot let u go without say anything.. my young bro u need to behave sio kila mtu wa kumtukana..Angalia, jipange!
  17. B

    Kisa sh. 100 ukatokea bonge la ugomvi

    Unaona sasa dhambi ya kuchukia ghafla watu bado unayo kumbe msamaha uliomba pale kwa Mungu ulikuwa wa kinafiki,..May be u have to check your physiological status labda una Mimba!
  18. B

    Tamaa Itanimaliza Jamani

    Ni kawaida tu kuwa na nyege kwa msichana wa umri wako..but percypat maliza shule kwanza
  19. B

    Kisa sh. 100 ukatokea bonge la ugomvi

    Kuna point moja tu ya msingi hapa ya kumuomba Muumba wako msamaha kwa kuchukia watu bila sababu,. na hapana shaka watu wa jamii yako uwa ni vilaza coz kwa watu waliostaarabika huwa hata tukikwazwa huwa tunasamehe moja mara sabini.. afu ushauri tu issue zingine unatakiwa kuuuchuna sio kupost...
  20. B

    Babu alizidisha mapenzi kwa wanawe

    Pigeni tu piga tu wapigwe tu wenye tabia kama za huyu kasisi...uwezi ukakaidi kwa maksudi miongozo ya kidini halafu sisi tukakuangalia tu...
Back
Top Bottom