Search results

  1. M

    Ze comedi... Wanajenga, wanabomoa...?

    Kwakweli hawa jamaa sasa wamevuka mipaka, sababu wao saiv wanahela wanajiona wamefika? alafu wanaonekana bado wana utoto,wasingewajibu wenzao badala yake wangekaa kimya tu kwani wana makosa,wao wenyewe kiingereza kinawapiga chenga,na ifike muda wajue kiingereza sio lugha yetu. wakae wakijua kuwa...
  2. M

    Tandale Kwa Mtogole

    Duh! mbunge wa kinondoni anafanya nini sasa? Alafu hapo kwa mtogole ndio kunasifika kwa vibaka,sasa vijana hao wafanye nini kama wametengwa kiasi hiki? Maisha bora wanayoyasema yako wapi?
  3. M

    Simu makanisani....

    Biblia inasema twende mbele ya Mungu kwa kicho na heshima,sasa simu inapiga kelele sio ustaarabu, kama unaona una ishu muhimu, basi weka hata silent, utakuta missed kol, then utawatafuta wote waliokupigia. Kwanza unapigia watu makelele wanaotaka kusikiliza ibada.
Back
Top Bottom