Search results

  1. Hamiyungu

    Je, Human Trafficking, Biashara ya Vigogo Tanzania?

    Ni V8 tatu lingine lilikamatwa Iringa huko likiwa na STL hivyo hivyo….na mpka imefikia kukamatwa ujue wameshapiga saana hizo mishe na mpaka wanakuja kukamatwa lazima hawakuelewana vizuri na polisi….
  2. Hamiyungu

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Sielewi ni kwann ntiba anaachwa uwanjani dakika zote zile wakati jamaa mwenyewe ni galasa tupu.
  3. Hamiyungu

    Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

    Tuna vijana wa hovyo sana….ndio maana hatuendelei!
  4. Hamiyungu

    Muda huu uko na mwenza wako wapi?

    Hv ilembula igwachanya wameweka lami!?
  5. Hamiyungu

    Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

    Ni kweli kibongo bongo dstv ipo juu,hakuna wa kumfikia lakini haitoi ukweli kwamba tunalipa zaidi kuliko tunachopata….Huko duniani kuna channel nyingi sana zenye content za ukweli,movies za maana lkn wao dstv wame jaza channel kama Kix,fashion nk …ukitoa supersport dstv has nothing to offer...
  6. Hamiyungu

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Upo sawa wewe!!!! Tunajifariji tu hapa lkn Dar haifikikii Nairobi….Huu ni ukweli mchungu hata ukiangalia malls zilizopo Nrb dar hakuna… Barabara zao hazina upuuzi wa 50 speed wala matuta hasa highway kama huku kwetu…kupotezeana muda tu.
  7. Hamiyungu

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kenya wametuacha sana tuache ushabiki…Hiyo expressway ni balaa….mmetisha majirani…kongole kwenu….Sisi huku nilisikia wanataka kujenga ya kulipia kibaha chalinze watu wakalamika humu jamii forums. Wakati wenzetu wamejenga tena kwa muda mfupi sana na ina option ukitaka kupitia hiyo ya kulipia au...
  8. Hamiyungu

    Mwigulu Nchemba: Mnasema maisha magumu? Magari namba E yamejaa Barabarani, na Benki kuna foleni

    Magari haya haya ya mwaka 2004 tunayo endesha wabongo!?
  9. Hamiyungu

    Naomba msaada wa kutoa hela yangu kwenye Group Buying, nahisi nimeingia mkenge!

    Umenikumbusha jamaa yangu….yao ilikua inaitwa twitter nn sijui….unaweka hela then unapewa task ya ku like page kadhaa unapewa commission,kianzio laki saba unapewa mwezi mzima,ukimuunga mtu unapewa commission….ukiweka hela zaidi na dau linaongezeka…jamaa akanogewa akaweka milioni tatu laki saba...
  10. Hamiyungu

    Serikali kuondoa udhibiti wa sukari kutoka nje kisheria. Bashe adai anaenda kuwatikisa 'Big Boys'

    Hapa nchini viwanda vyote vya sukari vinamilikiwa na wahindi ndio maana inakua rahisi kufanya kichezo mibaya….kagera sugar na mtibwa mmiliki mmoja…na tuna viwanda vinne tu hapa nchini kama sikosei!
  11. Hamiyungu

    Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme mpaka Juni uishe

    Kama uchaguzi ungekua huru na haki naamini kingetokea kitu cha ajabu sana…wasinge amini macho yao.
  12. Hamiyungu

    Bunge laazimia Serikali inunue ndege nyingine kwa ajili ya kuhudumia viongozi

    Yaani tunahangaika na umeme…badala kuwekeza kwenye umeme tupate wa uhakika wanawaza kununua ndege!? Kwakweli sitakuja piga kura tena.
  13. Hamiyungu

    Baba Levo: Kama nikifa leo au kesho basi mjue Harmonize ndio ameniua

    Kama ni kweli chanzo cha ugomvi ni kugombania mgao wa hela harmo amejitia aibu sana…. wanavimba utadhani wana hela kumbe wenzetu tu.
  14. Hamiyungu

    Mwenye kufahamu contacts za Puma petrol station Arusha msaada

    Hv vituo vinaitwa puma lkn vimekodishwa kwa watu ndio wanaviendesha….mfano ile ya pale metropole inaendeshwa na manjis ile ya philips inaendeshwa na setway (laswai) nk
  15. Hamiyungu

    Rais aliyeshindwa umeme, Asipewe nafasi nyingine

    Pamoja na shida zote tunazokutana nazo ikiwemo sugu ya umeme….mwakani kwenye uchaguzi kama kawaida tunakipa chama pendwa ushindi!
  16. Hamiyungu

    Askari amuua askari mwenzie Mtwara

    Jamaa wanajua kulindana sana….kwa haya maelezo kesi imeisha hapo….ukisoma kwa umakini hii habari utajua kuna vitu vingi vimefichwa!
Back
Top Bottom