Search results

  1. nzobhe

    Viambatanishi vya uongobvya muhongo hivi hapa

    k Muhongo alidanganya kuhusu viambatanisho,...tazama kurasa hii
  2. nzobhe

    Waliomuua Dr.Mgimwa hawa hapa

    Sasa imebainika wazi waliomuua aliyekuwa waziri wa Fedha Dr.Mgimwa. Watuhumiwa hao walitumia ustadi na umakimi wa hali ya juu kuhakikisha kuwa huyu waziri anaondoka katika nafasi ya Waziri wa Fedha kwani anaziba mirija ya uchotaji wa fedha za Escrow. Hata mabepari hao inasemekana walianza...
  3. nzobhe

    Sasa Rasmi Escrow yataka kuchakachuliwa

    Jana viongozi wa CCM waliwaita baadhi ya wajumbe wa kamati ya PAC kuwashawishi na kuwaomba kuwa wasisitize ripoti hiyo isiingie bungeni. Waliokuwapo ktk kamati hiyo ni Maswi,Muhongo,naibu katibu mkuu Mangula. More to come...
  4. nzobhe

    Watatu waongezwa kuandaa ripoti ya ESCROW

    Kamati ya Zitto kabwe imeona umuhimu wa kuazima majembe matatu kusaidia katika kuandaa ripoti ya kuwasilisha bungeni kutoka katika taarifa ya CAG iliyowasirishwa ktk kamati ya PAC....Majembe hayo ni: 1. Luhaga Joelson Mpina-Mbunge wa Kisesa(CCM)-Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya uchumi viwanda...
  5. nzobhe

    Unasemaje kuhusu Mbunge huyu?

    Anaitwa Luhaga Joelson Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa Meatu(CCM). Ni miongoni mwa vijana machachali na wenye uelewa wa kutosha juu ya kazi wanazofanya....kuanzia sasa ntaanza kufuatilia nyendo zake na kuzibwaga hapa. Naomba tufuatane sote kwa pamoja.
Back
Top Bottom