Nilidhani wewe ni mwalimu lkn kwa maelexo yako unaonyesha hujui chochote kuhusu taaluma ya ualimu. Mh. Rais mwenyewe kadhtukia makato hao, sasa anayebisha ninani hasa.
Ikumbukwe pia kabla ya marekebisho ya mwaka 2012, sheria ilitaka halimshauri itatoza ushuru huu km chanzo cha mapato kutoka kwenye makampuni tu lakini ikipofika mwaka 2012 sheria ikifanyia marekebisho na kuzitaka kampuni au mtu yoyote mwenye leseni ya biashara kulipa ushuru huu na kama kampni au...
Maana ya Service Levy ni ushuru wa huduma ambao ulianzishwa kwa mujibu wa sheria ya Fedha za serikali za mitaa, sheria ya mwaka 1982 na kufanyiwa marekebisho mwaka 2012.serce levy ilianzishwa kama chanzo cha mapato kwa halmashauri
Pia lazima ukumbuke kuwa baada ya hapo utatakiwa kutafuta chama kingine unachota kujiunga na kisha kumtaarifu mwajili kuwa kuanzia tarehe fulani akate michango ya trade unioni na aipeleke kwenye trade union ambayo umejiunga. NB: kushindwa kutaja trade union mpya uliyojiunga mwajilo analazima...
Unatakiwa kuandika barua(notice) ya siku 30 kwa mwajii wako kumjulisha kuwa asitishe kukukata michango ya trade unioni kuanzia tarehe fulani ambayo utaitaja, nakala ta barua hiyo utaipeleka kwa cwt, hapo itakuwa ndy mwisho wa kukatwa
Anayesambaza ujumbe huu anadhani anamdhalilisha mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke kumbe anasaidia ujumbe ufike kwa wananchi bila gharama yoyote. Tangazo hilo ni halali kwa mujibu sheria ndogo za Manispaa ya Temeke za Mwaka 2018. Acheni kushabikia kitu msichokijua, fanya utafiti kabla ya kutoa...
Pole na kazi ndugu Mkurugenzi wa TAKUKURU. Nina kila sababu ya kukupongeza namna unavyoshughlkia watoa na wapokea rushwa nchini. Hotuba ya Mh. Rais wa Jamhuri wa Muungano Tz aliongea kwa uchungu sana siku akifungua mkutano wa CWT Dodoma juu ya namna CWT inavyoongozwa akahoji uhalali na faida ya...
Mkurugenzi kama anafuatia uzi hakika natoa shukrani zangu za dhati kwake. Hotuba ya Mh. Rais ilionyesha wazi hafurahishwi na namna CWT inavyoendeshwa hasa katika matumizi ya fedha. Ifike hatua sasa Rais Magufuli asiendelee kuimumia hali wahusika wapo. Wito naomba pamoja na hoja hiyo ya rushwa...
Hapo jibu lipo wazi, kama Rais alisema hatateua waoinzani katika seeikali yake, nidhahili kuwa walioteuliwa wote ni wanachama wa ccm regardlesa wamesajiliwa chama cha upinzani. kinachoangaliwa hapo ni dhamira. ila kwa upande mwengine watanzania tuache uongo na unafiki, Rais anateua watu anaoona...
Ukiisilikiza sauti ya kiume hapana shaka kuwa sauti ile ni Steve mwigizaji wa sauti za watu. kwa hiyo huu niuongo uliokithiri. inasikitisha sana kama watu wamefikia hatua hiyo yakudhalilishana. sina utaalamu wakuchubguza sauti lakinisauti hii wala huuitaji utalaamu wa kusomea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.