Search results

  1. E

    Computer4Sale Inauzwa laptop hp RAM 4 HDD 1T i5 kwa 300k

    Hp 8440p used . Ipo Dar - Tabata . Battery inakaa na chaji zaidi ya saa 1 . Michubuko midogo midogo kwa mbali ipo . Njoo DM tuyajenge uje ukague mashine ujibebee Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. E

    Maisha baada ya shule

    habari za muda huu waugwana niwape pole na mihangaiko ya kutafuta riziki . Mimi kwa jinsia ni (ME) ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya manunuzi na ugavi katika taasisi ya uhasibu Tanzania(TIA) ndio kwanza nimemaliza shule mwezi mmoja uliopita (nasubiri matokeo) . baada ya kurudi mtaani huku bado...
  3. E

    Samsung galaxy s4 kwa $100 UD tu

    Una pesa kidogo lakini na ww unatamani kumiliki hii mashine kwa dola 100 tu za Obama unapata yako chap mpya full box ni hizi clone au copy mtaani wanaziita mchina japo ni made in korea . kila kitu sawa na original mpaka sensor inafanya kazi , tofaut yake na original ni kwenye camera na memory
  4. E

    Samsung galaxy s4 for $100 UD only

    Iko katika hali nzuri sana in hizi wanaita copy au clone mtaani wanaziita mchina japo ni made in Korea , Lila kit sawa na original kasoro quality ya camera na memory
Back
Top Bottom