Search results

  1. pe.livinuu

    Kabla ya ndoa mambo huwa hivi

    MME: Ooh! Natamani sana iwe hivyo. MKE: Vipi, wataka niondoke? MME: Hapana hata kidogo! MKE: Unanipenda? MME: Ndo maanake. MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu? MME: Siwezi huo upuuzi. MKE: Utanibusu milele? MME: Kila mara. MKE: Je, utanipiga? MME: Aaaa haiwezi tokea! MKE: Naweza...
  2. pe.livinuu

    MMU: This One Is For All The Lost Children..

    Ngoja niulize!! Hivi huku Jf kuna jukwaa la watoto????..... . .... We pray for our fathers, pray for our mothers Wishing our families well We sing songs for the wishing, of those who are kissing But not for the missing [CHORUS 1] So this one’s for all the lost children This one’s for all the...
  3. pe.livinuu

    Hata wanawake wanafahamu ni kweli saa nyingine...!!

    Hivi maana kubwa ya huu wimbo ni nini? Je, unauelewa vipi? Au kuna fumbo kuuhusu. ¤¤¤¤¤ No woman, no cry; No woman, no cry, No woman, no cry, No woman, no cry! 'Cause,- cause'- cause I remember when a we used to sit In a government yard in techtown, Oba' obaserving the 'ypocrites...
  4. pe.livinuu

    Inawahusu wote waliozaliwa...

    Hivi hujawahi kukaa na kufikiria kidogo kuhusu wazazi wako? Kila wanachokifanya kukuhusu wewe ni kwaajili yako. Na hata kama kuna mahali wanakukosea au wanakosea bila kujua, kuna haja yoyote ya kuchukia au kuwa na kinyongo?!! hakuna haja ya kuchukia au kuweka moyoni. Cha muhimu ni kuweka...
  5. pe.livinuu

    Ngo ngo ngo...

    Ngo ngo ngo ngooo ngoooooo Ero fungua basi arifff,, Hey!!! Back to the topic... Wakubwa shkamoooo :D (Najua wengi mmenzd umri) Wadogo niajeee ;) (Kama undr 19 itikia) Kwa heshma na taadhima Mgeni wenu Naomba kutanguliza salamu ;):cool:;):D;):cool::cool::)
Back
Top Bottom