wewe acha ubaguzi,huo ndo nyerere aliita ukaburu,na sidhan kama kila ulichosema na sahihi,ni utashi wako,hata hivyo hao wanajua mitaa ya kariokoo wamefanya nini hadi sasa(unawajua)
Waziri mkuu Mizengo Pinda amesema bomu lililolipuka katika mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CHADEMA tarehe 15 june lilitengenezwa China na ni bomu linalotumiwa kijeshi.Aliyasema hayo kwenye hospitali ya Sellian baada ya kuwajulia hali majeruhi.
sidhani kama ni kukurupuka,alichosema pinda ni uchunguzi wa bomu hilo,naomba niseme nilikuwa mmoja wa wanainchi tuliopata nafasi ya kuhudhuria mkutano huo,hizi ni habari za kweli na nimesikia kwa masikio yangu,kama bado uamini subiri vyombo vingine vya habari vitaripoti tuu
waziri mkuu mizengo pinda amesema uchunguzi wa awali wa bomu lililoripuka kwenye mkutano wa chadema juni 15 limetengenezwa China na ni la kijeshi,vyombo vya usalama vinaendelea na uchunguzi.ameyasema hayo kwenye hospital ya sellian baada ya kuonana na majeruhi
Yesu akajibu,akamwambia amin amin,nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kuuona ufalme wa Mungu..(yohana 3:3),..Yesu akajibu amin amin nakuambia,Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho hawezi kuingia ufalme wa Mungu,(yohana 3:5)
pole,tofauti ni hii....
Basi tuseme nini juu ya hayo?Mungu akiwapo upande wetu ni nani aliye juu yetu,yeye asiyemwachilia Mwana wake mwenyewe bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote,atakosaje kutukirimia na mambo yote pamoja naye. (warumi 8:31-32,)....na warumi 8:37 inasema,Lakini katika mambo...
mtanzania mwenzangu chama,hata mod ikifutwa mtakuja na mengine waislam wa aina yako..serikali kwa sasa haiwez kukubal mod ivunje kwani kuna vijiji vnategemea hizo za mod,ila kwa ushauri kwani waislam wa aina yako wanaolalamikia mod ya serikali na kanisa wao wameshindwa kuwa na mod na...
silly you,unafikiri hizo tacticts za ku terrorize watu zitafanya kazi,historia inatumbia time and time again hizo mbinu zinashindwa..mtu akiamua kutetea haki,hasa msomi anajua gharama yake.silly,mandela had many chances 2 accept defeat by accepting money kutoka kwa makaburu lakini hakufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.