Search results

  1. kigori wa kilwa

    Naomba msaada kwa hili

    Habari wanajamvini... naomba msaada kwa hili ... hivi unaweza kujua unamimba ndani ya siku 13? Au nimewahi kupima?? Maana UPT unaniambia negative? Au nisubilie wiki ingine zaidi??? Naomba muongozo tafadharii
  2. kigori wa kilwa

    Simuelewiii huyu kaka

    Happy Easter Jf Naombeni kuuliza? Hivi unawezaje kuishi na mwanaume ambaye ana tatizo la poor communication? ??? [emoji35][emoji35][emoji35] yani anaweza kukaa hata siku tatu asikujulie hali na hata ukipiga simu Mara nyingine hapokei ?? Nilimfatilia na kuhisi ana mwanamke lakini wapi ?? Hana...
  3. kigori wa kilwa

    Kijana yupo njia panda

    Habari zenu wanajamvini nimekutana na issue hii hapa kuna kijana tunafanya naye kazi ofisi moja , jana alinipa mkasa wake kwenye ndoa yake ni kuwa yeye ameoa zaidi ya miaka 11 nyuma lakini kipindi hicho chote hana raha na ndoa yake wala mkewe na sababu ya kutokuwa na raha ni ndoa zile za mimba...
  4. kigori wa kilwa

    Nisaidieni wadau: Nimetoa laki nne kwenye ATM, nilipohesabu tena zipo laki tatu na nusu

    Habari wadau.., Jioni hii yamenikuta nimetoka ATM nikachukua laki nne na risiti ikaandika hivyo hivyo, nilivyochukua hizo pesa sikuhesabu nikaweka kwenye bahasha maana nilikuwa naenda kumlipa mtu pesa zake. Nilipofika kwa jamaa tunazihesabu zipo laki tatu na nusu 350,000/= duuh nikaangaika...
  5. kigori wa kilwa

    Let him go

  6. kigori wa kilwa

    Msaada kuhusu hizi dawa p2

    Habari wanajamvini... samahani rafiki yangu ameniuliza swali nimeshindwa kumjibu nikaona sio vibaya nilete hapa mtusaidie.... alikuwa kwenye danger akasex baada ya hapo siku ya tatu baada ya sex usiku akanywa dawa hizo màana walisema 72 hrs maana (siku tatu) sasa kesho yake akasex tena na...
  7. kigori wa kilwa

    Nimemuita baba swalehe amenuna

    Aaaahhh jamani huyu mzazi mwenzangu kila ukiomba pesa yeye hana ila kila siku anakunywa sasa leo nimemuandikia message "baba swalehe vip tena leo huna pesa" amenuna wakati jina hilo na wimbo huo unaendana haswaaa na yeye mwenyewe.
  8. kigori wa kilwa

    Bao la mguu Vs bao la mkono

    Hii picha mie hoiii
  9. kigori wa kilwa

    Tujifunze kushukuru

    Aaaaah basi na nyie wengine muwe mnashukuru
  10. kigori wa kilwa

    Kauli zipi zinazokuchukiza hapa duniani?

    Mie nachukia na hii kauli ya "k" badala ya "ok" hivi ni dharau au nn
  11. kigori wa kilwa

    Hii kitu nimeipenda bure

    Mie muoga wa pikipiki ila hii machine ningepanda mpka kilwa...kitu BMW sijui mamilion ngapi?
  12. kigori wa kilwa

    Natamani nifanyiwe hivi??

    Someni hii picha jamani natamani vyote nifanyiwe mie
  13. kigori wa kilwa

    Wangapi humu tunaijua hii?

    Mie nilionaga sehemu hivi , sijui we uliona wapi?
  14. kigori wa kilwa

    Jamani ndoa ngumu, tokea aolewe ni miaka 2, anamfumania mmewe na michepuko

    Leo jioni nilienda kumpa pole ya msiba rafiki yangu alifiwa na mama yake baada ya story za hapa na pale tukaulizana habari ya maisha haswa ya ndoa yeye ameolewa Morogoro tangu aolewe ni miaka miwili tu ananiambia tangu aolewe amefaidi ndoa yake ni miezi miwili tuu mwanaume kwa michepuko balaa...
  15. kigori wa kilwa

    Happy usafi day

    Mie nimeshamaliza usafi wenzangu nyie vip??
  16. kigori wa kilwa

    Nimelikubali vazi hili

    ilikuwa tulivae siku ya ukimwi bana ila JPM amebadili mawazo wacha nikaliweke mpka mwakani
  17. kigori wa kilwa

    Mayai ya kwale bei pouwa kabisa

    Regular consumption of quail eggs helps fight against many diseases. They are a natural combatant against digestive tract disorders such as stomach ulcers. Quail eggs strengthen the immune system, promote memory health, increase brain activity and stabilize the nervous system. They help with...
  18. kigori wa kilwa

    Najivunia kuzaliwa Kilwa kwetu

    Najivunia kuzaliwa KILWA kwenye watu wa kwanza kutumia PESA Afrika, nyumba za kale, mapango ya asili, chanikiwiti, Bahari, visiwa, rasi, ghuba, Gesi na vijiji km Kivinje, Kikole, Kipatimu, Kisiwani, Kisangi, Kinjumbi, Kiwawa, Masoko, Mavuji, Chumo Migelegele, Marendegu, Mitole, Mtoni, Hotel 3...
  19. kigori wa kilwa

    Maneno makali sana haya

Back
Top Bottom