Kwa hizi beki zetu Onana atafungwa goli nyingi sana Kama hizi akiendelea kuvuka mstari… ieleweke timu yetu bado hatuna viungo wa kuficha mpira angalau kwa dk1.. So counter yoyote kuja kwetu ni maumivu hasa ukizingatia hizi beki zetu. Hili goli ni la Varane kabisaaaa… kashindwa kocontrol pass...
Huyu Sabtizer bado sana… anafichama kushenzi mabeki wanapata shida sana kupenyeza mipira jamaa anajificha nyuma ya wachezaji pinzani..garnacho anafurukuta but hana mechi nzuri leo mijamaa imekakamia kadogo… Rash leo hayupo kabisaaaa. nadhani tunacheza kumi uwanjani leo., unapata shida sana...
Ki professional asingekubali mzee, ili kugain confidence ya mchezaji kwa public. Ila naamin ndani ya dressing room dogo alikula vitasa vya kutosha tu, ukitaka kuona hili mwangalie dogo alivosawajika pale bench mpaka mechi inaisha dogo karefusha mdomo utafikiri kala ndimu..!!
Nilipenda sana uamuzi wa Ten hag jana kwa Antony jana..
Timu inahaha kutafuta goli watu wanatoka ulimi nje na jasho la kutosha, lenyewe limepokea mpira.. huku kulia Dalot kafungua chumba..Mbele pale Cesa kafungua kwenye box... Linyewe limepokea pasi safi badala ya kupress kwa Dalot au...
De jong,Timber wote limewakuta jambo..
Walijidai nye nye nye hatuwezi kwenda kucheza Europa lig.. kiko wapi?? Matimu mechi tano.. hili point 4, jingine point 3..!! Tena naomba sana tukutane na Barca robo au nusu tumkalishe vizuri de jong mkosa adabu..!!
jana tumewapelekea moto tot mpaka kibendera katupa ‘advantage’ ya offside!!
Ilipigwa ndefu kwa Kane, Alikuwa offside na kibendera kanyoosha kabisa kibendera but baada ya mpira kumkuta shaw nae kutoa pasi… kibendera kumuona ref kamute nae akashusha chini kibendera mbugi likaendelea mpk mpira...
Mwenyewe kanishangaza yuko home, ananafasi nzuri tu ya kusonga mbele na tayari kesha win trust kwa mashabiki na bodi pia but daah kawa mkavu Mno bhanaa..
Ninausongo sana wa kuiona combo ya kibrazir pale kati. Hope cesa na Fred watatuonyesha chochote cha kutushawishi leo. But Ten hag aanze kujiamini sasa, mechi kama hii tia hivi vitito vikinazidane, garnacho nk viendelee kujiamini. yeye anaweka full mkoko...
Jorge Mendes has asked #mufc to renew Cristiano Ronaldo's contract, so he can leave this season on loan.
Hakuna habari inanikera kama hii,
Yaani Ron ananini cha mno cha kuskip msimu huu then still united tubaki kumuhitaji kwa msimu zaidi ya huu??
Mendes awe na Adabu pamoja na Ronaldo wake...
Duuuh Jf ya leo...!!
Maombi ya kila mja huwa kwa kile anachokiamini. Mpokea maombi siku zote huwa hausiani na imani ya yule anaemuombea.. Ndiomaana si ajabu kwa Mkristu kwa Imani yake kumuombea Muisilamu na akapona bila kuzingatia imani yake kwa aliyemuombea.
Yule anaomba ndie anaemlilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.