Search results

  1. C

    Mkutano wa Waislam Mnazi mmoja - Kura ya kundi inaleta maana?

    MIMI NAONA HAWAJAKOSEA, Walichofanya nikuonyesha kwamba hawapingi ufisadi bali wanapinga kanisa.
  2. C

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Kwani Daudi alipomuua Goliathi alikuwa na umri gani? Tafadhali sana naomba vijana tuheshimiwe,tudhaminiwe na tupewe haki yetu bila ubaguzi wa aina yeyote! Pia ijulikane kuwa ukimnyima kijana yeyote haki yake kwa ajili ya umri wake unajidhalilisha wewe mwenyewe kwani unaonyesha huna shukurani...
  3. C

    Naibu Waziri Mahiza na kejeli kwa walimu

    Majibu yake hayana uhusiano na elimu yake bali ni mawazo yaliyojaa ndani ya moyo wake ambayo yanauhusiano na msimamo wa chama chake wa kufunga mdomo wote wanaohoji utendaji wa serikali kwasababu hii sio mara ya kwanza kwa waziri kujibu swali hovyohovyo. Wanajibu hovyo...
  4. C

    Rostam aanza kutikiswa

    Tatizo sio anayetoa rushwa peke yake ila ni pamoja na anayepokea na kama tunavyojua ni afadhali mjinga sababu ukimfundisha madhara ya rushwa ataelewa kuliko mpumbavu ambae kila siku anaambiwa kwamba kura yake ina thamani kuliko hela, khanga, chumvi n.k lakini haelewi anaendelea kupokea kuchagua...
Back
Top Bottom