Search results

  1. zeus

    Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    hatua ya kwanza ni kuondokana na mindset kuwa "umelogwa" , hakuna ulozi hapa, kukosa ufahamu si kulogwa, na woga si kulogwa, na amini kuwa kura ndio ngao yako pekee, usipopiga kura ujue unakabidhi mamlaka kwa wasiostahili..
  2. zeus

    ESCROW: Zuio la Mahakama likisomwa Bungeni leo jioni itakuwaje

    tatizo ni pale spika akiaamua kuwaburuza hao wabunge wa ccm, of kozi na mgogoro ndo utakuwa mkubwa zaidi
  3. zeus

    ESCROW: Zuio la Mahakama likisomwa Bungeni leo jioni itakuwaje

    Salam Wakuu, sasa tumeona jinsi wezi hawa wanavyotapatapa kutumia kila chombo cha dola kuzuia ripoti ya Escrew kusomwa, mahakama ndiyo hiyo imetoa order kupiga stop ripoti ili umma usijue ukweli, na hatujui leo jioni Bunge litaamua kutii hiyo amri au litaendelea kama linavuodai, huwezi jua...
  4. zeus

    Scotland's Referendum and the Future of African Borders

    Though Scotland has voted no to its independence, there is a lesson learnt by many countries around the world including African countries. Does this referendum have any implications for the future of african states?
  5. zeus

    Rwanda, Kenya & Uganda Kujenga Reli ya Mombasa-Kampala-Kigali kwa $13bn/-!

    we mama yako mbwa? uwe na heshima kwa watu wote, acha kubagua watu kwa misingi ya jinsia
  6. zeus

    ICC na viongozi wa Africa: Kuna haki hapa?

    Wanapendekeza kujitoa ICC kama kundi la nchi za afrika, na sio kujitoa UN. Pia ICC ina-deal na makosa ya jinai kimataifa, kwa hiyo haihusiani na viongozi wa kiafrika kulindana katika mambo ya rushwa na ufisadi. Nyie wananchi ndio wenye mamlaka ya kuwawajibisha hao..
  7. zeus

    ICC na viongozi wa Africa: Kuna haki hapa?

    sidhani kama wanaonewa, au labda niseme "kuonea" sio neno sahihi kulitumia. Ukiangali kesi nyingi za ICC kutoka Afrika utaona kuwa ni nchi za kiafrika ndizo zimeiomba(request) ICC kuingilia kati kuchunguza makosa ya jinai yaliyotendeka kwenye nchi zao. Mfano ni uganda, congo, na Jamhuri Afrika...
  8. zeus

    Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

    Kumpata aliye upload wala sio isshu kubwa, ishu ni utayari wa kufanya uchunguzi halisi. What they can do ni ku-waomba Youtube watoe internet protocol address(ip adress) aliyotumia huyo jamaa ku-apload, kumbuka kuwa kila unapoingia kwenye internet kampuni inayokupa huduma ya internet ndio...
  9. zeus

    Kagame maji ya shingo sasa

    hivi zile droni zinaambaa tz nani aliruhusu, au ni kimya kimya?
  10. zeus

    Nassari aambiwa aache Kucopy na Kupaste

    je kama alitembelea tu magereza , hawezi kujua? au mpaka naye afungwe ndio ajue matatzo ya wafungwa?
  11. zeus

    Dr. Slaa anatumika kuhakikisha Lowassa anaingia Ikulu 2015

    maneno mengi kumbe tatizo ni chuki kwa lowassa?
  12. zeus

    JK kufanya uamuzi mzito 2013

    lol! umenichekesha mkuu.. ina maana anao saba tayari??
  13. zeus

    Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

    Mara nyingine ni bora kunyamaza ukaonekana mpumbavu kuliko kufungua mdomo wako na kuwathibitishia watu kuwa uko hivyo kweli
  14. zeus

    Mtumishi mwandamizi Ikulu adai kufukuzwa kama mbwa...

    kuwa mtumishi mwadilifu hakumaanishi haki ya kujimilikisha mali ya serikali, labda alalamike kuwa taratibu hazikufuatwa..
  15. zeus

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    mzee Afya tele! anaenda tu huko kukutana na watu muhimu. hapa bongo ni wambea sana... wagonjwa huwa wanaenda India...
  16. zeus

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    watu wanasema EL hasafishiki lakini kiukweli , kwa maoni yangu sioni hasa huo unaoitwa uchafu. watz ni watu mashabiki sana, wasiopenda kuchambua ukweli na kutambua tofauti kati ya mambo wanayoaminishwa kuwa ni ukweli na ukweli wenyewe. EL alijiuzulu kwa kashfa, hiyo ni kweli. Lakini leo hii...
  17. zeus

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    kajiunga kwa sababu mahsusi, au? pia, naomba kuuliza hivi ametoa press release?
  18. zeus

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    hongera lema na wengineo..
Back
Top Bottom