Search results

  1. S

    JWTZ kukatiwa umeme ni sawa?

    Mikoa mingi iliyounganishwa katika Grid ya Taifa ilipata hitilafu ya umeme.
  2. S

    Mwenye uthibitisho kuwa Magufuli anapambana na rushwa auseme hapa, zaidi ya kuchochea na hawaguswi

    Mtu ataendelea kuwa hana hatia mpaka mahakama itakavyosema
  3. S

    Mafundi wa kumwaga zege wanahitajika

    Ninahitaji mafundi wa kumwaga zege wawe na vifaa vyao kama milunda, mbao, nk.
  4. S

    Msaada: Dawa ya Nyanya zinazopukutika maua

    Nipo Dar maeneo ya Mbezi, nimelima nyanya aina ya Money Maker kama nusu heka huku. Ninamwagilia kwa maji ya kisima nilichochimba. Tatizo nilipatalo ni kupukutika kwa maua kila zinavyoanza kutoa maua. Nimejaribu kupanda aina ya Roma nazo ni hivyo hivyo, naombeni kujua nitumie dawa gani.
  5. S

    Askari waiomba Serikali kuwapa posho walizoahidiwa

    HUU UCHONGANISHI MTAACHA LINI. HIVI NANI KAWAAMBIA HABARI HIZO. NIJUAVYO HAWA WANAJESHI WANA TARATIBU ZAO ZA KUWASILISHA KERO ZAO NA SI HAPA.
  6. S

    Natafuta mtaalamu mshauri wa ufugaji wa kuku

    Ndugu zangu natafuta mtaalamu ambaye atanishauri kuhusu banda, vifaranga, madawa na ufugaji mzima wa kuku wa kienyeji na wa kisasa. Pliz inbox kama upo maeneo ya jirani. Naishi Masaki DSM.
  7. S

    Rais Magufuli kuomba kujengewa msikiti na uwanja wa mpira wakati Kagera watu hawana makazi

    Mimi sijaona hiyo mikataba ndiyo maana nachelea kusema kilichomo ndani. Huenda hizo nyumba 5000 zimo humo maana siamini kama mikataba hiyo yote ni ujenzi wa msikiti
  8. S

    Rais Magufuli kuomba kujengewa msikiti na uwanja wa mpira wakati Kagera watu hawana makazi

    Hakuna watu wanaonichefua kama ambao kila siku wanataka kujilinganisha na Rwanda. Ni nchi mbili zenye historia tofauti, vipaumbele tofauti na ukubwa tofauti. Sasa ulitaka na sisi tuombe nyumba 5000. ungekuwa wa maana kama ungesema umeiona mikataba haina lolote, hapo ningekuelewa.
  9. S

    Rais Magufuli kuomba kujengewa msikiti na uwanja wa mpira wakati Kagera watu hawana makazi

    Hawezi kukujibu kaka kwani aliandika bila kufikiria anaandika nini.
  10. S

    Natafuta mtu/kampuni inifanyie tathmini ya mradi

    Nina eneo kama hekali 5 huko Mbondole hapa DSM. Nataka kulitumia eneo hilo kwa ajili ya ufugaji pamoja na kilimo cha mboga mboga. Natafuta mtu/Kampuni ambayo itanifanyia tathmini ya matumizi ya eneo hilo ikiwa ni pamoja na design ya majengo kutokana na kusudio langu.
  11. S

    Je, Tumeachana na dhana ya kubana matumizi?

    Hivi unajua pamoja na kubana matumizi lazima masuala mengine yaende kama kawaida. Kwa hiyo mazoezi ya ndege vita yasiwepo ili ziharibike zife kesho tuwe hatuna ndege. Think big kaka. Jiongeze kidogoooo siasa zisikupeke huko. Najua una akili lakini sa iasa zinakutesa.
  12. S

    Njia ya maandamano ya UKUTA

    Jamani naombeni kujua barabara tutakazotumia hapa Dar siku ya trh 01 Septemba wakati wa maandamano ya UKUTA.
  13. S

    Hivi ni kweli tunategemea mzungu kulipa mshahara?

    Katika Video hii Rais Uhuru anasema Tanzania, Uganda na nchi nyingine katika ukanda huu zinapata zaidi ya 40% ya recurring budget kutoka kwa wazungu. Hivi ni kweli?? Tunategemea mzungu kulipa mshahara? Anajua recurring budget ninini kweli.... Ni nawazo tu
  14. S

    Katibu mkuu wa CHADEMA Dkt. Mashinji aonya, ni hatari rais kuvunja sheria, kutokosolewa

    Ukweli sijaona point ya maana ambayo inaweza kuitwa ya Kaibu Mkuu wa Chama tena CHADEMA zaidi ya kupayuka. Unadhani Dr Slaa angeweza kutoa tamko hili? Mtaisoma namba..yeye huyooooooo
  15. S

    Hili gazeti la Mwananchi kwa kweli silielewi

    Yaani hakuna habari positive ya nchi hii ambayo itaandikwa ukurasa wa mbele na kuipa uzito unaostahili kwenye Gazeti la Mwananchi. Nimefuatilia kwa muda mrefu sana na ukweli nimeanza kuamini yaliyosemwa huko nyumaaa kuwa Gazeti hili lina ajenda ya kuona nchi yetu inaingia kwenye mgogoro na...
  16. S

    Hongera sana Mkuu wa Mkoa wa Geita

    Kama hujui jambo afadhali ukae kimya. CSR ni moja kati ya mambo yaliyopo katika mikataba ya uanzishaji wa Migodi. Ni lazima na siyo kujiamlia. Kutokujua sheria kwako ndo kumekuwa kunatuumiza kila siku.
  17. S

    Hongera sana Mkuu wa Mkoa wa Geita

    Kuna kodi za aina mbili, Cooperate Social Responsibility (CSR) na Service Levy. Sasa hiyo CSR ilikuwa inapangwa na Mgodi badala ya wananchi. Wao wana shida ya barabara, mgodi unawapa msaada wa maji...utofauti huu wa perceptions na priorities umekuja kumalizwa na RC huyu. Anastahili pongezi kwakweli.
Back
Top Bottom