Search results

  1. P

    Moses Machali: Askofu Kakobe siyo mchungaji wa kiroho

    Ndiyo maana upo huko, kwa maana akili yako inafanana na wa huko
  2. P

    ARUSHA: Makamu wa Rais amwagiza RC Mrisho Gambo kukabidhi fedha za rambirambi alizochukua kwa wahanga wa ajali

    Ha ha ha ha ! Umenikumbusha msemo alikuwa anaupenda sana mwalimu wangu wa Physics pale Tosamaganga, pumnzika kwa aman Mwl Sika Sent using Jamii Forums mobile app
  3. P

    Wafanyakazi 134 wakutwa na vyeti feki hospitali ya Muhimbili, majina yao haya

    Mbona page no 6 haipo? Page no 5 mara 5 turushie zote
  4. P

    Waziri Ummy Mwalimu: Marufuku RC, DC kuwakamata na kuwasumbua madaktari

    Ni madaktari tu! Watumishi wengine waendelee kusumbuliwa
  5. P

    Polisi wamkamata Gwajima tena. Afanyiwa upekuzi upya na kuachiwa

    Gwajima hajalipiza kisasi! Amefichua uovu! Baada ya kuona kiongozi anafanya mambo yanayoleta wasiwasi wa uwezo wake, akaamua kufuatilia ndo akagundua kuwa alipata zero yaani alizungushaaa.
  6. P

    Baa la njaa: Handeni maembe yawa chakula kikuu

    Kichwa chako kazi yake ni nyele tu!
  7. P

    Mheshimiwa Rais, je umetusahau watumishi wa umma?

    Wewe ni mtumishi katika serikali gani? Annual increment inahitaji kujaza opras? Labda utakuwa mtumishi wa ndani. Endelea kujipendekeza hivyo hivyo
  8. P

    RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    Kwa kweli inasikitisha sana! Na ni tabia ambayo inatakiwa kupingwa kwa nguvu zote na watu wote wenye akili timamu. Sijui tunapoelekea ni wapi?
  9. P

    Gavana Ndulu(BoT): Kufungua akaunti maalum si kosa, fedha kuliwa ni vigumu

    Kwa hiyo unadhani zikiwekwa kwenye fixed account zinafungiwa kama umeweka kwenye kibubu? Mzunguko wa fedha unaongezeka kwani watu wanakopa na na kuzitumia kwenye matumizi mengine panoja na kufanya investment
  10. P

    Maswali 7 Ya Godbless Lema Kwa Polisi-Mauaji ya Mtuhumiwa wa Mabomu Arusha

    Kwa akili ya kawaida kabisa haiwezekani high profile criminal akasafirishwa bila kufungwa pingu halafu eti alikuwa anatoroka akapigwa risasi. Tungesikia msafara wa police umevamiwa kwa lengo la kumtorosha, kusingekuwa na maswali mengi juu ya kumpiga risasi. Kuna kitu si bure. Ila ipo siku ukweli...
  11. P

    Samuel Sitta aunda Kamati ya maridhiano ya kuwasikiliza waliopiga kura za HAPANA

    Na waliopiga za siri wakasema hapana kwa sura zote 1 mpaka 10 itakuwaje? Na vipi hao mnao waita kwenye kamati ya majadiliano wangepika za hapana kwa siri ingekuwaje? Jamani watanzania mnawakadiria vibaya , si kama mnavo wadhania. Uhuni mtupu
  12. P

    Tamko la Chama Cha Walimu(CWT)

    Ndo hivyo! taifa la wananchi kama kondoo husababisha serikali kuwa umbwa mwitu! ni principle
  13. P

    Hukumu ya Mwanamke aliyeporwa mtoto, Mahakama imejiaibisha...!!

    Alicho fanyiwa mama huyo ni kitendo kisichovumilika hata kidogo! Kuna kila sababu mashirika ya kutetea haki za binadamu kuingilia kati, ndugu zangu watanzania kama kweli imefikia hali hii katika mahakama zetu tumekwisha sisi walalahoi. mama ambebe mwenyewe tumboni miezi 9, leo sababu tu ya pesa...
  14. P

    Arumeru: Wanaohujumu Kampeni kufukuzwa

    Msiwalaumu! Wanazungumza kilicho moyoni. Wako bungeni kwaajili ya mshiko, matatizo ya wananchi kwao sio kitu, ndo mana wanadai posho ziongezwe. Posho ndo ziliwapeleka mjengoni.
  15. P

    Dr Slaa Jibu tuhuma hizi...!

    Kabla ya kumtuhumu Dr, unajua wajumbe wote wa bodi ya wakurugenzi? Na uamuzi huwa unafikiwaje? Ni Dr huamua peke yake? JD yaDr unaifahamu? Halafu swala la wateja weng kutoka kaskazin iwe tuhuma, je umeshawahi jiuliza kwa nini Dar wafanyabiashara wengi ni wachaga? Wamependelewa na nani? Kwa nini...
  16. P

    Askofu Kilaini: Tanzania inahitaji rais kama Kagame

    Meseji ya Askofu ni kubwa mno. Ebu fikiri siku unasikikia familia ikilalamika bora fulani angekuwa baba yetu! Wakati huyo fulani ana hata baiskel wakati wewe unakila kitu? Au mkeo analalama bora fulani angekuwa mume wangu! What does it imply? Your useless father, irresponsible father or
  17. P

    Polisi: Maandamano ya Novemba 26 marufuku!

    nashangaa watu wanapojifanya hawajui kwamba hakuna jeshi lililofanikiwa kudhibiti nguvu ya umma, tazama Misri, libya sio kwamba jeshi lao ni dhaifu. Wananchi wakiamua ndivyo inavyokuwa. Amani ya nchi yetu inategemea sana busara ya majeshi yetu katika kutekeleza wajibu wao. Chonde chonde jeshi la...
  18. P

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 5 walioingia muafaka Arusha

    Kaka ulikuwa unafuatilia kweli? Nahisi umedandia bila kujua wamefikaje kwenye maamuzi magumu na sahihi, hao madiwani walipe nafasi wakajifanya maarufu kuliko chama na gharama yake ndio hiyo.
Back
Top Bottom