Search results

  1. M

    BAKWATA: Hatuutambui waraka wa Waislamu

    kama Jf ingekuwa na tuzo ya mchango wenye mantiki kwa wiki basi mimi ningekupendekeza wewe uipate kwani , watu wengi wanatazama haya mambo yanayojili tz kwa juu juu tu! na watu wengi wanakuwa kama wanalopoka ili kufanya yaishe au bora liende, wengi wetu hatuangalii haya matatizo kiundani na...
  2. M

    BAKWATA: Hatuutambui waraka wa Waislamu

    hao viongozi ni vipi? mbona barua ya wakatoriki kwa waumini wao na watanzania waliusoma fasta fasta na kuanza kulipuka ovyo ovyo? sasa huu wa waislamu kila mtu anadai hajausoma na ilihari wote wanaosema hivyo ni waislamu hashwa! halafu ni vipi sasa wanasema wao ni wanasiasa na hawawezi...
  3. M

    BAKWATA: Hatuutambui waraka wa Waislamu

    ha! ha! haaaaaaaaaaa! unautani mbaya na vyuo vikuuu wewe!
  4. M

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    hivi, hii ina tofauti gani na ile ya ccm ya Rais kugombea bila kupingwa ili kumalizia awamu yake ya pili ya Uongozi wake wa nchi. lipi baya zaidi la ccm au chadema, ama yote sawa ama hayafanani hata kidogo?
  5. M

    Eti supu ya pweza au nyama yake inasaidia nini?

    ukitaka kupatia zaidi piga supu ya pweza na konyagi.... ha! ha!ha! haaaaaaaaaaa
  6. M

    Mishahara ya wabunge, mawaziri na majaji juu!

    Mishahara ya Wabunge, Mawaziri na Majaji yaongezwaMSHAHARA WA SPIKA, JAJI MKUU WAONGEZWA MARADUFU Waandishi Wetu SERIKALI imewaongezea mishahara viongozi wa kisiasa, majaji, wakuu wa mikoa na wilaya kuanzia Julai mwaka huu, huku jaji mkuu na spika wakiongezewa maradufu. Habari za uhakika...
  7. M

    Matakwa yangu ama familia yangu,chama ama jamii yangu, ujiko, utajiri ama taifa ?

    Hivi mtu unapochangia mada hapa jamii forum ama mahara pengine popote , ama mtu unapoamua kujiunga na chama fulani cha siasa ama, unapongombea nafasi ya uongozi katika chama chochote , unafanya hivyo kwa ajiri ya ubinafsi ,matakwa yako binafsi na familia yako, ushabiki wa siasa, ama sera za...
  8. M

    Je kama rais nimpita njia ama baba ni sahihi kumlaumu kwa kutotimiza sera zake?

    Kama leo tunasema raisi ni mpita njia ama baba yetu ni kwanini tunamlaumu kwa kutotimiza sera yake ya maisha bora kwa kila mtanzania ama hii sera ametimiza ama hakutuahidi hili ili tumpe kula? Nilitoa hii hoja binafsi ya Rais kumzawadia mototo maskini pipi kwa kusema Rais na wala sio Baba ama...
  9. M

    Rais kumzawadia mtoto pipi alikuwa na maana gani?

    Mkuu, nashukuru kwa kuona mtazamo wangu umekwenda mbali zaidi ya mtazamo wako.. ni sahihi kabisa kuangalia maswala kama haya kiundani zaidi kuliko kijuu juu. Ni kweli kiupande mwingine rais ni baba, lakini baba mzuri ni yule anaempa mtoto wake pipi? Au ni yule anaye zawadi ya penseli, kitabu...
  10. M

    Rais kumzawadia mtoto pipi alikuwa na maana gani?

    Kiukweli mimi binafsi, nimeshitushwa na nimeshangaa na kujiuliza maswali mengi mno baada ya kuona picha ya Rais akimzawadia mtoto Pipi. nimejiuliza maswali mengi kuwa kwa mfano huo anataka sisi tujifunze nini? au alikuwa na maana gani? na kwanini afanye hivyo.... na je alikuwa na uhakika kama...
  11. M

    Sitta awashukia maadui wake: Amwita mmoja "Mhalifu sugu"!

    ki ukweli kaka sisi ni wazalendo na mara zote tunapochagia tunajiita wazalendo, basi nchi yetu ilipofika ni sehemu mbaya sana, haiwezekani spika wa bunge la jamhuri ya muungano akasema maneno hayo mazito harafu bado tunawatetea watua hawa, hakuna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi ya mafisadi...
Back
Top Bottom