Search results

  1. Babamzazi

    Stand Utd ikishuka lawama kwa Nani?

    Angekuwa anamfunga yanga tu si angeshuka daraja kama toto african na stand united.
  2. Babamzazi

    Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

    Nimejaribu kupitia nyuzi nyingi tu humu jukwaani nimegundua kuna kitu kinaendelea. Uongozi wa JF na Invisible wao wanawapa Ban washabiki wa Timu moja tu lakini wa timu nyingine hata zitoe maneno makali kiasi gani hawaguswi. Uongozi wa JF ujitathmini kama unatenda haki la sivyo ujitangaze kabisa...
  3. Babamzazi

    Tabia za mademu kutokana na mitandao wanayotumia

    Huyo atakuwa anatumia yote
  4. Babamzazi

    Tabia za mademu kutokana na mitandao wanayotumia

    Mimi napenda mademu wanaotumia satellite au redio call. Sifa zao please
  5. Babamzazi

    Kama madereva wameweza, walimu kinachowashinda ni nini?

    Mimi nadhani wamefanikiwa kuwakomoa watu wasiohusika katika madai yao. Ningeona wamefanikiwa kama wangeyatia moto magari yote au kuyaharibu ili kuwakomoa wamiliki ambao wamekataa kuwapa mikataba na maslahi mazuri.
  6. Babamzazi

    Kama madereva wameweza, walimu kinachowashinda ni nini?

    Mkuu tutajie mgomo wa madaktari ambao umefanikiwa kama wa madereva uliowasifia.
  7. Babamzazi

    Kama madereva wameweza, walimu kinachowashinda ni nini?

    Walimu na Madereva nani mwenye njaa?
  8. Babamzazi

    Stand Utd ikishuka lawama kwa Nani?

    Kama Toto African na Mgambo Shooting tu, hayo ndiyo malipo ya kukamia mechi moja tu nyingine zoote wanaachia. Acha washuke ili wajue ligi haina timu ya Simba pekee.
  9. Babamzazi

    Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

    Nafurahi umekubali kuwa yanga ni mabingwa feki, unawezaje kutumia milioni 928 ili upate milioni 70? unafikiri 928M zimetumika kusafirisha timu mikoani tu?
  10. Babamzazi

    Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

    Tayari Bingwa mwingine feki amelambishwa mchanga. Chezea kidume toka Msimbazi wewe.
  11. Babamzazi

    Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

    Hii inadhihirisha jinsi watu walivyo na unazi kuliko kuifahamu soka ya uwanjani. Ungekuwa sahihi kusema hivyo kama Simba ndiye angekuwa amefungwa bao 2.
  12. Babamzazi

    Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

    Kwani Bagamoyo huwa wanafuata nini? unauliza makofi Oysterbay Polisi.
  13. Babamzazi

    Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

    Watu saba wameshinda 2-1 duuh...
  14. Babamzazi

    Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

    Yanga haina uwezo wa kuifunga Azam, visitafutwe visingizio. Yanga ameshinda sana kwa Azam na Simba ni sare vinginevyo kichapo tu, hizo huwa hazinunuliki kama Polisi FC na Coastal Union.
  15. Babamzazi

    Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

    Ile mechi kweli Mpesa ilitumika maana yule jamaa alicheza rafu ya kijinga ili apewe kadi tu yeboyebo ipate nafuu. Maana bila hiyo pale zisingepungua 5.
  16. Babamzazi

    Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

    Kwa hiyo kumbe Yanga ikifungwa na Simba kila mechi huwa inanunuliwa? Ndio maana inapata pesa ya kupanda ndege.... Hahahahaaaaaaa
  17. Babamzazi

    Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

    Hao wote wateja tu, hatuwezi kushabikia wateja wetu. Hatuwezi kushabikia Bingwa wa Kichina wala Bingwa wa Zamani Feki. Fanicha za kichina kiboko yake Mvua tu na mvua ndiyo Simba FC.
  18. Babamzazi

    Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

    Hatimaye Simba imedhihirisha Bingwa wa Zamani na Bingwa Feki mpya wote ni sawa. Kiboko ya Furniture za kichina Mvua tu nayo imewanyeshea wote ndembendembe.
  19. Babamzazi

    Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

    Kijana umeanza kufuatilia soka la Bongo lini mbona unaongea kiushabiki tu bila point yoyote?
  20. Babamzazi

    Live Updates: Simba SC vs Azam FC, 03/05/2015

    Maneno yako unayakumbuka?
Back
Top Bottom