Search results

  1. frankchelsea

    kazi za emirates

    Pitia kwa mwanasheria upigiwe muhuri. Kama upo mjini nitafute..
  2. frankchelsea

    Usaili TRA

    Dah.ninilitegemea mtihani migumu hivyo ni bora hata utungaji Wa UDSM na Mzumbe.kama wanatukomoa vile.
  3. frankchelsea

    TRA wameita watu kwenye usaili

    Umekurupuka tu kutuma na kumbe hawahitaji.
  4. frankchelsea

    Tatizo la Ajira (zenye tija) nchini: Ripoti ya Benki ya Dunia na Mikakati ya Serikali ya Tanzania

    SerialI tupeni mikopo ya bei nafuu..ili pale tulipo kwama tujikwamue... tuboreshe biashara zetu..kama mimi nimejiari kwenye biashara ndogo lakin ili niendelee nakutana nachangamoto ambazo Vila kukopeshwa inaniwia vigumu...natumai watu Wa serikali mnapitia humu basi nisaidieni
  5. frankchelsea

    Utumishi wametoa nafasi za kazi leo 27/08/2014

    Hio post zimetoka mwezi Wa name..leo ni mwezi Wa Tisa..bado wenzangu hamhoji tare he..
  6. frankchelsea

    Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria

    usikate tamaa..Komaa tafuta tubiashara ya kuingiza kipato..Mungu ndie mtoa riziki..kama IPO IPO tu.kuzaa si kosa LA jinai kama nyie wengine mnavyomjudge mwenzenu.. take it from me.. maisha ni kutafuta na sio kutafutana. Nakuelewa situation uliyopo..
  7. frankchelsea

    Tigo line ya wakala inapatikana kwa sh 500000/=, for charity

    No negotiation...Only serious buyer. Ni pm.. Pesa inayopatikana ni kwaajili ya charity contribution
  8. frankchelsea

    Call for interview, Mediator II and Arbitrator II

    Dumejike as ante kwa muda wako... sikuliona gazeti ila kwa msaada wako nimepata jibu..VP majina ya arbitrator.tuwekee plz
  9. frankchelsea

    Mjadala: Tatizo la kujieleza kwenye usaili wa kazi

    Secret service na wadau engine mliochangia mambo mazuri sana haya mmetuletea..asante
  10. frankchelsea

    Sijala toka jana nilipohakikisha sijachaguliwa uhamiaji

    Walirudia maswali Yale Yale mkuu.halafu unakuta sisi wenyewe MTU badala akaekimia akiulizwa na mwingine ambae hajafika zamu yake ya interview anaanza kumtangazia mwenzake maswali yalioulizwa.kwahio unakuta anaefuata anakuwa anaingia anajua maswali na ameshatafuta majibu ukizingatia interview...
  11. frankchelsea

    Kwa nini pia nafasi za internship hamna

    Yaaani ni shida.hata mie yamenikuta natafuta kwenye law firm hata kujitolea ili nijifunze kazi lakini hakuna anaenijua siitwi naambiwa a cha CV yako.
  12. frankchelsea

    Namshukuru mungu nimeitwa kazini

    Hongera.Mi nilipiga lakini sikupita kwenye aptitute pale quality plaza... VP kwenye oral waliuliza maswali gani.
  13. frankchelsea

    Nisaidieni wakuu nafasi ya kuvoluntier

    Asanteni ndugu bado tunapambana tuzidi kuombeana kwa mungu. Nikifanikiwa nitarejesha mrejesho humuhumu
  14. frankchelsea

    Nisaidieni wakuu nafasi ya kuvoluntier

    Ahsante kwa KunIPA moyo
  15. frankchelsea

    Nisaidieni wakuu nafasi ya kuvoluntier

    Ndio.Nimeziona natuma mkuu.
  16. frankchelsea

    Nisaidieni wakuu nafasi ya kuvoluntier

    Nimezunguka ila mambo yamebadilika sana hz nafasi zamani wanasema hazikuwa tabu.il a siku hizi ndio tabu.. nimeshazunguka naishia kuacha CV sipigiwi
Back
Top Bottom