Search results

  1. Econometrician

    Naomba ushauri juu ya dawa za kuongeza mwili

    Kuna vitu hujaweka sawa ili tukushauri vizuri, 1.Je unategemea kimaisha yani unakazi yako unaingiza kipato cha kutosha mahitaji 2.Je una familia? ** hata ukiwa na hela kama Elon musk ukiwa na stress lazima huta nenepa kamwe. Unene ni afya ya akili kwa 80% na chakula kwa 20%
  2. Econometrician

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Hata kama ingekuwa ni kweli,siku zote mwambaji hatakiwi kuchagua. Inasikitisha sana kwa population ya 61M na ardhi ya sq.945K ambayo 3/4 ni arable land kuchukua mahindi na Mchele wa msaada.
  3. Econometrician

    Rais Samia, tusifukie Mahindi na Maharage ya Marekani, naomba tuyapeleke Haiti

    Uandishi ni kazi sana,yani kwa namna ulivyoandika hii habari haijulikani either ni maneno ameyasema SAMIA,Bashe au ni ushauri wako katika hilo swala.
  4. Econometrician

    Maneno gani huyaamini kutoka kwa mwanamke?

    Mie sijawahi kumwamini Mwanamke yoyote hapa Duniani,including my own mother na itakuwa hivyo mpaka naondoka duniani.
  5. Econometrician

    Mke wangu wa kwanza baada kuona naingiza pesa nyingi alijazwa upepo tuaachane ili apate pesa kirahisi

    Sheria zote za dunia ni katili dhidi ya Wanaume,sio Ulaya sio Afrika.usipo gawana mali atakudedisha kwa sumu. Inauma sana,una sota na jua,mvua matusi mahangaiko yote halafu Mwanamke anatafuta namna ya kubaki na vyote hivyo. Sometime,tukiwaona akina Elon Musk,Jeff bezo,Bilget Dangote hawana...
  6. Econometrician

    Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

    Akuzae asikuzae haiondoni ukweli na uhalisia kuwa wanawake hawana mchango wowote.
  7. Econometrician

    Kandida inapunguza hamu ya tendo la ndoa

    Dawa yake ni nini,maana wananisumbua hao mapajani nimepaka dawa wapi.
  8. Econometrician

    Group la Kisukari

    Ndio unavyo karirishwa na madaktari au sio? Hizo dawa zote viwandani zinaongezewa tu chemical compound hakuna cha ziada
  9. Econometrician

    Kremlin imesema itaingia vitani na NATO endapo wataingiza vikosi vyao Ukraine

    Hivi unajua hata Russia anachokifanya Ukraine?,anapigana na Jeshi la Ukraine kwenye mji husika akiuchukua ana uweka kwenye himaya yake anaujenga kwa kujenga makazi na kuweka huduma za kijamii.kisha ana advance kwenda eneo lingine. Kwa miji ambayo amisha ichukua na kufanya hivyo amejitahidi sana...
  10. Econometrician

    Ukiifikiria sana hii nchi unaweza kupata wendawazimu!

    Nchi za wenzenu zenye hivyo vitu havikuja kwenye plate,nguvu ulizotumia kutafuta hizo hela kujenga nyumba zitumue kwenye kusaidia kutoa elimu kwa wenzako ili mfanye mageuzi.
  11. Econometrician

    Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Shida sio simu tatizo ni TBS,Tanzania sasa hivi ni dampo la vifaa vya electronics fake na vyakula visicyo ba ubora. Na mbaya zaidi zaidi ya 99% ya watanzania hatuna ujuzi na mambo ya electronics ndio kabisa. Nchi ya hovyo sana hii,hamna control kabisa-wafanyabishara wanafanya wanacho taka ili...
  12. Econometrician

    Dorothy Semu achukua nafasi ya Zitto Kabwe ACT Wazalendo

    Mwanamke anaongoza chama cha upinzani Afrika,wonders shall never end
  13. Econometrician

    Je, ilikuwa sahihi kwa Rais kuiasa hadharani familia ya Mzee Mwinyi isigombane?

    Shida inaanza marehemu alipokuwa hair alimpendelea Mama siti zaidi
  14. Econometrician

    Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

    Unashangaa bei ya unaijua mishahara yao?,Afrika ndio kuna Nchi ambazo Raia wake hawajui viongozi wao wanalipwa shilingi ngapi
  15. Econometrician

    Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

    Hamna Mwanamke mwenye akili kubwa hapa Duniani,acha uongo!..wanawake wote akili zao zinafanana.
  16. Econometrician

    Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

    Nani amekuambia tafsiri ya kuwa na pesa ni kuwa na akili nyingi.mtu kana Nikola Tesla alikuwa na akili nyingi alikuwa na pesa. Kuwa na pesa ni game of chance haina uhusiano wowote na akili.
  17. Econometrician

    Quran inasema wazi hakuna nchi itaendelea kwa kuongozwa na Mwanamke. Ila yetu nasema itaendelea

    tuseme tu ukweli hata humu ndani ni nani anaweza kumheshimu Mwanamke? hata kama ana akili kama Mchwa.Hata Mwanamke pekee hawezi muheshimu Mwanamke mwenzake vp mwanaume anawezaje?
  18. Econometrician

    Ommy Dimpozi anatoa wapi pesa za kula Bata Ulaya na Marekani

    Itategemeana ubwabwa unapakuliwa na na nani?
Back
Top Bottom