Search results

  1. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Hivi kwanini watu wasifanye kazi au kupata mali kwa njia halali na safi. Nani alimtuma mtu kuwa jambazi na kudang'anya? Halikuwa na sababu gani?
  2. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Yaani ata kama mume halali alikuwa part of it, atakaye kuwa na issue za kisheria hapa ni mwanamke. Kuna fundisho kubwa sana kwa wadada wa mjini kutokana na hili
  3. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Samahani kukuuliza. Una elimu kiasi gani? Na pia una elimu au ufahamu wa mikataba ya kisheria? Maana inaonyesha huelewi ndoa ni mkataba wa kisheria pia wa Kidini. Na ndio maana dini zote na mila zote zina process ya kuvunja hiyo mikataba ili both parties waweze kuingia kwenye mikataba mipya...
  4. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Namtetea Mushi maana kumbuka Doreen amekuja kujulikana ndie mwenye kuolewa maada ya ndoa. Majina kanisani na kwenye cheti kilikuwa cha uongo. Bibi harusi aliakikisha kajificha balaa, kanisani kaingia kajifunika kanga, ilipotolewa kanga akawa kavaa wigi na miwani mikubwa. Sasa jiulize hii yote...
  5. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Video inasema jina alilo andikisha kwenye ndoa au kutangaza ndoa kanisani? Napata wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria na kuchakanyua vitu.
  6. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Ndugu kujidhibitishia kama sio feki chukua hiyo number ya cheti nenda RITA ukahakiki.
  7. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Cheti cha huyo tapeli na Mrema nimekuwekea hapo. Dada Mange alikiposti. Embu soma kwa sauti hata jirani akusikie. Na kwa kuwa unapenda facts hebu tuonyeshe hicho chako unachosema alitumia Doreen Kimbi.
  8. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Sheria ya wapi hii ndugu? Jielemishe sheria za serikali na kidini vizuri usije kujuta mbeleni.
  9. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Hivi huelewi kwamba Doreen hakutumia jina Lake la kweli kwenye kutangaza na kufunga ndoa na Mrema? Doreen ametumia jina la uongo (fake) ambalo ni Doris Mkandala. Mtaani na kwa mume wake wa kwanza alijita Doreen Kimba. Magereza na uhamiaji alijiita Doreen Mkandala. Unawekaje pingamizi kwenye...
  10. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Sasa wewe ndio unaongea pumba zenye PHD. Rai Mwema waliongea na huyo mume wake na akakubali kuwa Doreen bado ni mke wake. Tafuta hiyo nakala. Swali la msingi kujiuliza Doreen ni kweli aliolewa au hakuolewa. naskia kesi inafunguliwa. Mahakama itachekecha pumba zote za mitandaoni. So tulia...
  11. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Ndugu yangu. Mtu anapokuwa ana forge sana inafika kipindi anajisahau. Ebu fikiria mtu anamajina haya yote ya kutapeli 1. Agness kimbi (jina Lake la kuzaliwa) 2. Doreen Kimbi (alichukua la binam yake ili aweze kuendelea na shule, agnes alifeli shule, na ndilo alilotumia pia kwa ndoa HALALI na...
  12. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Waandishi wa habari wanajuaje kuhusu habari mbalimbali kila kona ya nchi? Kuforge documents za ndoa ni kitu kikubwa sana sana mkuu. Na hapa ndipo nimekuwa nasema kama haya sio ya kweli Doreen ajitokeze awaambie watanzania. Kumbuka Doreen alimzika tu Mrema akatokea kwenye media akitangaza...
  13. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Acha upuuzi wewe. Mimi sio kijana wa Mrema acheni kusingizia watu. Sasa kwa habari zilizopo na mwambie Doreen azikanushe Inasemekana kwenye kikao cha ukoo baada ya mazishi watoto wa Mrema walimpa kiwanja kigamboni (thamani kama milion 70), pesa tasilimu mil 50 na wakahaidi watamnunulia gari...
  14. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Inasemekana kwenye kikao cha ukoo baada ya mazishi watoto wa Mrema walimpa kiwanja kigamboni (thamani kama milion 70), pesa tasilimu mil 50 na wakahaidi watamnunulia gari jipya lingine. LAKINI mjane wenu alikataa anataka zaidi
  15. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Dada unachoshindwa kuelewa hapa ni sheria. Wewe kama demi unauwezo wa kufanya maamuzi yoyote ata kujiua.. lakini ukinywa sumu na usipokufa sheria unaijua. So bi Dada nenda kaolewe kama Doreen kwa majina fekero uone itakachokikuta. Jiongeze
  16. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Demi dada yangu. Sheria zinatungwa kwa kuangalia usawa na haki ya kila mtu kwenye jamii. Haimpi mtu favour kwasababu ni mwanamke au mwanaume. Ulaghai hufikishi watu mbali, hamna short cut kwenye maisha.
  17. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Tatizo kwanini adanganye? Yaani anadanganya mpaka kanisa Katoliki Kweli shoga yenu akili hana na bahati hana. Immigration wamemshika, kwa mrema wamemshika sasa sijui nani ni next victim lol
  18. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Wewe Doreen utaangaika sana kuleta watu wakukutetea ila ukweli utajulikana mahakamani. Tena ungekuwa na akili ungejiuliza information mpaka za immigration zinatoka wapi. Unajua malipo ni hapa hapa duniani? Alafu nikusaidie nenda RITA na hiyo registration number ya cheti utajionea maajabu...
  19. M

    Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Hivi kama Doreen alimpenda sana Mrema kwanini hakufanya the right thing. Atafute divorce alafu aolewe ki halali. Alikuwa na haraka gani? Ukishajibu hilo swali kichwani kwako then uje utujulishe pia.
Back
Top Bottom