Search results

  1. K

    nisaidieni

    Wee vipi ebu jiamini basi.Mimi nimesoma sociology many year back niko kwenye ma NGO usiwe na wasi wasi we maliza shule yako kazi ziko nyingi sana ila tu uwe na subira kwa sasa soma sana. Kwa mfano research nyingi watu wa sociology wanafanya, NGO kibao zinahitaji watu wa Sociology kwa upande wa...
  2. K

    Utamu na Faida za Tende kwenye mwili wa binadamu

    Mbona inakinzana na maada ya hapo juu.Ebu acheni kutuchanganya
  3. K

    Elections 2010 Dr. Slaa usitunyang'anye tonge mdomoni

    Pesa zote zinapitishwa na bunge hasa nyongeza za mishahara na kutangazwa na waziri husika.Ukirejea kipindi cha bunge la bajeti serikali ilitangaza kima cha chini cha sh 135,000/= na kusema serikali haiwezi kuongeza pesa zaidi ya hiyo kutokana na ufinyu wa bajeti.Swali la kujiuliza hizo pesa...
  4. K

    Yanga v/s Simba

    araway tunashukulu kwa taarifa nzuri vip hilo goli limefungwa na nani.Kandambili poleni sana
  5. K

    Yanga v/s Simba

    Simba tupeni rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ha ha ha ha ha
  6. K

    Toyota Ipsum inauzwa

    Weka picha jamvini wadau waone kama inalipa au kimeo ili watu tufanye maamuzi
  7. K

    Yanga v/s Simba

    Senator tunashukulu kwa taarifa vip kwa sasa, simba ushindi kama kawaida
  8. K

    Natafuta mume

    Usipate tabu nami niko single karibu tusongeshe maisha
  9. K

    Sina hamu tena kuonana uso kwa uso na mwanaJF

    Noma sana ungekuwa unachati nae kumbe ni mama mkwe wako
  10. K

    20 Most Influential Young People in Tanzania

    Think b4 you speak
  11. K

    Nssf

    Chukua salary slip zote za toka ulivyoanza kupeleka michango yako, nenda branch ya NSSF michango yako inakopelekwa then udai hiyo tofauti na waibadilishe, pia yawezekana mwajiri wako alipeleka pungufu kwa maana hiyo pesa iliyoingia ni ile cheki ya mwajiri wako aliyoipeleka NSSF. Angalia pande...
  12. K

    Mtoto wa nje ya ndoa

    Hili tatizo ni timing bombing kama baba wa huyo mtt ni mkorofi, any time can happen jamaa anaweza akaja anytime kwa husband wako, usiposema kwa ss anaweza kutumia advantage kukutumia kwa lolote coz akitaka kale kamchezo huwezi kukataa kwasababu atakuambia nakuja nyumbani kwako kumfuata mtoto...
  13. K

    ENZI ZILE (Tukumbushane)

    Nakumbuka nikiwa std 2 kulikuwa na vichongeo vya penseli vilivyokuwa na kioo juu, enzi hizo tulikuwa tunafundishwa na mwl wa kike ss huyo mwlm alikuwa anapenda kukaa kwenye dawat langu akisahihisha daftari ss nilikuwa naweka kile kichengoe chenye kioo chin katikat ya miguu yake bila yy kujua ss...
  14. K

    Natafuta mchumba

    Ur very right, yan saitama anataka yy kuasess lakin hajazungumzia upande wake, anaonesha jinsi gani alivyokuwa na mfumo dume Cha msingi hata huyo atacayewin inabid akuchunguze kama chemestry zenu zinaendana
  15. K

    Solar lighting solutions in Tanzania

    Thx mkuu its very cheap, iyo red color ni kwamba kuna typing error au ndio price yenyewe Ngoja niwachek fresh kwenye web yenu then nitawacal for more info.
  16. K

    Mgomo wa TUCTA wapingwa na TIC na TCCIA

    Kugoma kuko pale kwan ni haki yetu kugoma na hii itatusaidia kupata haki zetu
  17. K

    Yupi wa kuoana naye?

    Mapenzi ni kama mizani isipobalance ni shida, lazima kuwe na balance yani wote mpendane sawa
  18. K

    Twiga stars Vs Ethiopia

    Hongereni wanawake
  19. K

    Mashoga Uganda Kuhukumiwa Adhabu ya Kifo

    Mkuu sayansi ya wapi hiyo!!!!!!!!!........................ Mwanamume kubanduliwa nyuma jamanii hii ni laana
Back
Top Bottom