Search results

  1. baby wa kitaa

    Nyumba ya kupanga Mbeya inahitajika

    Waungwana...ninabadilisha makazi na sasa naelekea pande za Mbeya mjini...nahitaji msaada wa kupata nyumba vyumba viwili,jiko,sitting room toilet private, maji na umeme!isiwe nyumba ya kizamani...bajeti yangu laki moja!
  2. baby wa kitaa

    I have a baby girl

    Mungu ni mwema, nimepata mtoto wa kike masaa mawili yaliyopita. Muombeeni mtoto wetu akue mwenye afya njema. Nimefurahi kuwa mama.
  3. baby wa kitaa

    Nyumba ya kupanga Morogoro

    Waungwa salama! Nimeamua kuishi Morogoro, kazi zangu nafanyia mvomero! Nahitaji nyumba ya kuanzia maisha iwe maeneo ya barabara kuu ya Moro-Dodoma! Iwe na chumba kimoja self, jiko, sebule, maji na umeme wa kujitegemea! Ikiwa getini itakuwa ni jambo jema! Natanguliza shukurani
  4. baby wa kitaa

    Nauza laini ya tigo pesa.

    Baby wa kitaa biashara imenishinda!kukaa kibandani kusubiri wateja ambao hata sijui watakuja au la imekuwa ngumu!nauza line yangu ya TIGO PESA bei lakin nane tu!changamkieni basi mwenzenu nimechoka na biashara!
  5. baby wa kitaa

    msaada wa kusigniwa certificate of character!!

    bandugu!!baada ya kusota kwa miaka kadhaa kuutafuta uwakili hatimaye mwenyezi mungu amejibu maombi na juhudi zangu!nimefaulu mtihani wangu wa law school!tatizo ni kuwa natakiwa kusigniwa certificate of character na petition na advocate aliyefanya kazi kwa angalau miaka mitano!!!nimfuate nani kwa...
  6. baby wa kitaa

    Halo halooo!

    jamani bandugu nami nimeingia humu leo!!kazi kwenu msio na wake!!
Back
Top Bottom