Search results

  1. N

    Kikwete azungumza na wazee wa Dar; ajiandaa kwa mgongano na TUCTA

    Watanzania tuelewe kuwa serikali imejaa dharau kwa wananchi wake lakini Mkwere aelewe kuwa saa imekaribia atakapoonja joto ya jiwe hawezi kutufanya wapumbavu kiasi hiki. Wao posho za kumwaga kwetu bajeti haitoshi na ndo kundi pekee tunaolipa kodi wao aaaaaa.Mungu hawezi kuruhusu udharimu huu...
  2. N

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Nakuuunga mkono 100/100 huyu jamaa upeo wake ni mfupi sana na isitoshe anashabikia kitu ambacho hakijui.Haangalii hata chaguzi za wenzetu like USA na hata Zambia jirani zetu,Ghana nk Au nikibara wa C HAMA C HA M AFISADI?
  3. N

    Rais kumzawadia mtoto pipi alikuwa na maana gani?

    Kwa rais wa nchi hii aingii akilini hizo pipi alibeba intentionally kwa ajili ya watoto au alikuwa anatumia mwenyewe?!Tusiyachukulie mambo simple simple tu angefanya hivyo mpita njia kusingekuwa na shida but Prezdent hii imekaa kushoto wana JF. Katika ziara zake mikoani anatakiwa kufikiria...
  4. N

    CCM yawa rasmi Chama Cha Mafisadi

    Huu ndo wakati wa kupambania yupi mkweli na yupi alitumia hii fimbo ya ufisadi kujifagilia mwenyewe.Si wote waniitao Bwana bwana wataurithi ufaulme wa mbinguni. Mwakyembe na wenzake wachague moja ni nani watakayemtumikia kama ni wananchi au chama cha mafisadi a.k.a. CCM. Historia inatukumbusha...
  5. N

    Pinda, Muungano, na Hatima ya Zanzibar

    Ni kweli kabisa shida ya Muungano ni ugumu wa maisha unaosababishwa na ufisadi wa serikali ya CCM inafikia hatua hata huku tanganyika itafikia kipindi lazima kieleweke bado kidogo tu maana hatuwezi kuendelea kuona wachache wanaishi maisha ya anasa wengine tukitamani kujishibisha kwa mabaki ya...
Back
Top Bottom