Search results

  1. M

    Mawaziri Aisha Kigoda na Seif Khatibu watangaza penzi lao Bungeni

    hawa nao wafanye kazi mambo ya kutangaza mapenzi na mashukrani yasiyo ya lazima wakati muda wa bunge ni finyu ni ufisadi tu! Wabunge wanakosa muda wa kuchangia kutokana na dakika zinazotumiwa kwa mambo ya binafsi kama haya, kodi zetu ndo za kutangazia ngono zao??
  2. M

    Listi ya wabunge MATAJIRI Tanzania

    Rostam anaongoza na anawapita wenzake by far!! Inasemekana yeye ndo msukaji wa wizi wote unaofanyikaga serikalini..anatisha na ana camp ya wabunge na mawaziri wako kwenye payroll yake ili kumlinda. Kimsingi ndo anashikilia system ya TZ!
  3. M

    Mbeya wamuuliza JK: Wafe wangapi ndipo hatua zichukuliwe?

    Inawezekana kabisa sisi watanzania akili zishaingia sumu kali sana (brain poisoning). Utashi wetu hauna uwajibikaji na hatujui haki zetu, hata kama tunazijua hatujui umuhimu wake na namna ya kuzidai au kuzipata. Nidhamu ya woga iko juu sana kwa mkulima, mfanyabiashara na mfanyakazi! Pale...
  4. M

    Masoud Kipanya is wrong about SUA

    UbungoUbungo kama kuna nafasi za kazi ambazo hazijajazwa za huo udaktari wa kuku na ng'ombe zitangaze hapa watu watatuma maombi. Sina data kwa hiyo siwezi kuwa na uhakika kama kuna nafasi zimetangazwa zikakosa SUA graduates. Assumption (open to research) ni kuwa watu wa SUA washajaza hizo kazi...
Back
Top Bottom