Unataka kusema alikuwa anakunywa pombe katika kipindi chote cha mwaka mzima akiwa kitandani?.
Kwa nini usiseme dawa zimemfanya mdomo kuwa hivyo?
Tuache ujuaji
Sio kweli.
Mke wake ni Muislamu lakini pia Hussein ana kaudini fulani.
Kuna mdau kaniambia kuna wakati akiwa wizara ya afya alimpitishia maombi fulani mdau mwenye jina la kiarabu akijua ni dini yake kumbe jamaa ni mgalatia,alisikitika.
Umeandika uwongo mtupu.
Chuki zako za kisonjo dhidi ya wamasai wa loita ndizo zinazokusumbua.
Utawaitaje wamasai wa engusero sambu ni wakenya???
Poor,poor.
Na mkamatwe tena
Tukubali kukosolewa,ni aibu kuendelea kupangisha ofisi za makao makuu.
Tuendelee mpaka lini kutegemea michango ya maskini watanzania kwenye kujenga ofisi?
Fedha za ruzuku hakuna percent za kujengea ofisi?
Viongozi waache ubinafsi
Mtaishia kwenye majimbo,nchi bado hamna mikakati ya kuichukua.
Bado,bado bado sana.
Na hata hayo majimbo mkikaa vibaya napo mtapoteana kama TLP.
CCM imechokwa lakini upinzani wa maana Tanzania hakuna.
Kenya wametuzidi pakubwa
Lengo la mada ni chadema.
Ila kweli katika yote chadema kwa hili la kuendelea kupangisha ofisi za makao makuu mmefeli pakubwa.
Ni kama vile hakuna anayetaka kujenga makao makuu atakayokuja kutumia kiongozi mwingine.
Huu ni ubinafsi wa hali ya juu.
Kwa hili,mi kama mfuasi wenu wa muda mrefu...
Na wewe umeamini huo utopolo wa Kabendera?
Hata kama Magufuli alikuwa dikteta lakini kwa hili atakuwa anasingiziwa.
Kwani katiba ya kutoruhusu Rais mstaafu asishtakiwe ingebadilishwa?
Kwa hili tu,nadiriki kusema huu ni utopolo..
Hata hivyo sio kila kitu ni cha kujibu kwa watu wakubwa kama kina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.