Search results

  1. M

    Wapinzani waipinga hotuba ya kikwete

    siri inajulikana ila wao hawajui kama twaijua
  2. M

    Wapinzani waipinga hotuba ya kikwete

    Wana JF wasalaam. Jana nimefuatilia kwa ukaribu sana hotuba ya JK, sijaona chochote chenye kufikirika "rationale" alichosema huyu bwana zaidi ya kuvuta kamba kwa serikali mbili. Mimi naweza kusema kwamba angeambiwa aongee kabla ya mzee wetu mwenye busara za Nyerere, warioba; asingepata hata...
  3. M

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Mie nafikiri hawa wanafiki wa ccm wakiipitisha rasimu ya serikali mbili, hawatakuwa tena na dhamana ya kuchaguliwa viongozi 2015. Haiezekani wananchi tutoe maoni halafu yapuuzwe kiasi hiki tena na kiongozi mkubwa wa nchi. Rais jana kaja akiwa na majibu, tena kadesa yale alosema warioba. Ni...
  4. M

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Serikali tatu ndo jibu. Kuanzia jana nimehitimisha kwamba JK hana jipya na anazidi kuiharibu nchi yetu. Naomba amalize tu muda wake aende ajuapo.
  5. M

    Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Usikurupuke na hitimisho lisilo na mashiko. Nguvu ya umma wengi ni vijana na hawajajiandikisha. Subiri mwakani uone mambo.
  6. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Halafu hii picha ndo mnawanga au vp?
  7. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Wewe umechanganyikiwa subiri tu kucharazwa viboko. Makamanda hatuna utani na nchi yetu
  8. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Wana Jf popote mlipo. Tupo tumetia kambi kata ya tungi tunalinda kura. Maccm wameleta kundi kubwa na DCM kwa lengo la kupiga kura tumewatimulia mbali. Cha kushangaza wamekimbia kitu kinachodhihirisha kwamba ni wezi. Pia wana masanduku ya kura bandia kwenye magari wanavizia jinsi ya...
  9. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Pamoja daima kamanda. Leo kitaeleweka kamanda. Hii nhi ni ya cdm
  10. M

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Hapo patamu kamanda. Utabiri mzuri tusubiri majibu jioni
  11. M

    Uchaguzi mdogo kesho taarifa...

    Kiboriloni mgombea ccm asalimu amri ya kujiondoa.chezea cdm wewe!
  12. M

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Slaa is our choice
  13. M

    Tundu Lissu na ufungaji kampeni za udiwani kata ya Tungi

    Kampeni zimeisha salama kabisa. Tusubiri tu matokeo kesho
  14. M

    Tundu Lissu na ufungaji kampeni za udiwani kata ya Tungi

    Tundu lisu ni kichwa cha cdm. Usifikiri kwamba anachanganya chochote. Ni uelewa wako tu mdogo
  15. M

    Tundu Lissu na ufungaji kampeni za udiwani kata ya Tungi

    Tulia kamanda utaendelea kupata updates.
  16. M

    Tundu Lissu na ufungaji kampeni za udiwani kata ya Tungi

    Makamanda, ijisasa tupo viwanja vya tungi kambini. Watu ni wengi maelfu kwa maelfu uwanja umerindima kweli kweli. Tundu lisu na hoja ya utetezi wa ukombozi wa wanatungi. Chagua cdm kwa vile tupo tayari kuuleta ukombozi wa kweli. Usichague tu kwa kurubuniwa kwa pesa ama kwa chakula ama...
  17. M

    ITV na Gwanda la CHADEMA.

    Maccm yanavaa mavazi jkt kwa kigezo kuwa gwanda lao. Wamechanganikiwa
  18. M

    Elections 2015 Kamanda Mawazo: Tumepigwa tena, mwenzetu anaweza kufa wakati wowote!

    Poleni makamanda. Kwani kuna la kuuliza? Hao jamaa njaa tu inawaendesha. Na maccm wanatumia hela ya serikali kuhujumu nchi kwa umwagaji damu. 2015 wajiandae kuingia shimoni kama Sadam Husein kuanzia huyo mkubwa wao.
  19. M

    PICHA; M4C- OPD, kutoka Polisi Iringa hadi kuitikisa Pwani na kujionea 'maajabu' ya elimu Chalinze

    kikwete ajiandae kupoteza jimbo kwenye uchaguzi mdogo. Ndo kwanza salamu hizo.
  20. M

    Mirathi inanitoa Roho

    Pole sana mpendwa. Hao mashemeji ni walafi na wana tamaa za mali. Zinawahusu? Wewe simama katika sheria utashinda. Pili usisahau kumuomba Mungu akutangulie. Katika hiyo ishu ya miradhi, pia washirikishe ndugu zako kama kaka mkubwa akuwakilishe. Usisimame mwenyewe. Tunakuombea ushinde...
Back
Top Bottom