Search results

  1. B

    Urasimi utaisha lini nchi hii?

    Mimi ni mwajiriwa katika ofisi moja hapa jijini dar, juzi ijumaa tarehe 4 Jan 2013. Mimi na wenzangu tulienda ofisi za NIDA kwa ajili kupiga picha za kuweka kwenye vitambulisho vya uraia. Hamuwezi kuamini ndg wanajf yaani zoezi la kupiga picha tu lilichukua zaidi ya saa tatu. Cha kushangaza...
  2. B

    Wizi fedha za safari za JK kuchunguzwa

    Pia jamani na hawa waandishi wanoitwa kny press conference wawe wanakuwa critical kuuliza maswali haiwezekani eti waziri anakana hakuna wizi wakati huo huo anaunda tume kuchunguza wizi halafu hamna mwandishi hata mmoja wa kumbana waziri kumuuliza maswali ya kwa nini anaunda tume ifanye kazi...
  3. B

    Hot Nuuz: Mahakama Kuu leo Imempa Ushindi Lulu Michael Kuhusu Umri Wake

    Tumeona jinsi mwenendo wa case ya Lulu unavyokwenda kasi, ndani ya miezi miwili tayari shauri limekatwa kuhusu umri wa Lulu.Sasa nawashauri watanzania wenzangu ni muda muwafaka na sisi kuuidai serikali kuwa na wanasheria watakaowatetea watuhumiwa, wanasheria hawa walipwe na serikali kama...
  4. B

    Bot wameshaita watu kwenye ajira

    duu ahsante kwa taarifa kaka tomlema
  5. B

    Bot wameshaita watu kwenye ajira

    Wakuu mwenye taarifa anijuze wiki tatu zimepita tangu nifanye oral interview pale Bot.Tulikuwa kama 15 hv tuliofanya hio interview naomba kujua kama wameshaita plse mwenye taarifa anijuze
Back
Top Bottom