Search results

  1. G

    Kikwete azungumza na wazee wa Dar; ajiandaa kwa mgongano na TUCTA

    yesterday is among worst day in our history of tz, nilishuhudia raisi asiye na haiba(mswahili pasee( hata kidogo akihutubia namimi kama mwananchi wake nilishindwa kuendelea kumsikiliza.... shame on us
  2. G

    Vigogo wapigana vikumbo harusi ya binti Lowassa

    mbado....kurudi tena?.mbado...kusafishwa?....mbado...utabiri?...mbado ila ninachomkubali lowasa is a friendly man. on personal level sio mbaya kivile kama watu wanavyofikili....ila bwana kimasilahi...
  3. G

    Kikwete afanye nini Kuuokoa Urais wake?

    all in all tuone inawezaje hii kampeni ikatoka nje ya jamvi ili iwakute majority.. Mungu aliwapa wanaisraeli sauli kwa sababu waling'ang'ania. lakini baadae aliwahurumia akamleta DAUDI- anaetamkwa 'rafiki wa Mungu'. by faith we can stop this gentleman next year....
  4. G

    Ze Comedy: Idea zimekwisha!

    Jana nilitizama kipindi cha ze komedi, kwakweli vijana wanajitahidi kuwa na sustainability, tho these days popularity imeshuka kidogo tofauti na miezi mitatu kurudi nyuma. vijana wanakuja na innovations, seems they get trouble to think, thats good!!!!!!!! BUT sikutegemea kikundi kile...
  5. G

    Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    kachelewa mpira upo bungeni, huko ndo lazima mshindi apatikane, hata kama raisi atakubali bado kiporo cha maazimo 23 lazima kiishe na mbaya zaidi wanavyozidi piga chenga ndo muda unayoyoma, bao hawarudishi, alas! uchaguzi huo 2010, image haisafishiki, sijui mhe. atanadiwa na nani, wapambe...
  6. G

    Mtei alipotofautiana na Mwalimu Nyerere

    uchumi na siasa ni vitu vinavyokinzana, mwalimu alikuwa mwanasiasa na mtei mchumi, mandela aliacha ofisi ya sheria ambayo ilikuwa ya kwanza kwa waafrica kwa wakati huo ili atumikie wananchi ambao hata hawajamchagua..... everyone moved by the spirit to archieve, especially on field he/she...
  7. G

    CHADEMA Yaisambaratisha CCM Kyela; ngome ya Mwakyembe yatikiswa

    Mwenzetu wewe wawapi?.............. kama unakifahanu kiswahili vile, ila sidhani kama Mtz. mengi na azizi wapinawapi, hata mtoto anaejifunza uraia darasa la3 anajua tofauti zake..
  8. G

    CHADEMA Yaisambaratisha CCM Kyela; ngome ya Mwakyembe yatikiswa

    aaah aaah kumbe! nilikuwa sijui...
  9. G

    Lowassa hakuonewa; alichelewa kujiuzulu! -

    hatuwezi kumfananisha EL na mtu mwingine yeyote ktk utendaji...kama ni standards tutatumia strength zake na opportunity alizowai kuzipata, so to compare him with other person its poor analysis namaanisha kama kweli ni mtendaji basi that is good! BUT utendaji na udokozi kamwe...
  10. G

    CHADEMA Yaisambaratisha CCM Kyela; ngome ya Mwakyembe yatikiswa

    Eng.. Unakumbuka one time ilisikika kwamba wananchi wanamuhitaji aende CHADEMA? ninachokiona in roots wanakyela wamechoka na CCM lakini sio na Harison. sababu kwa sasa bado sijaona alternative ambayo wanayo, ambayo ni afadhali kuliko aliyopo, si Chadema wala CCM. Na chadema kufanya vizuri...
  11. G

    CHADEMA Yaisambaratisha CCM Kyela; ngome ya Mwakyembe yatikiswa

    kuna wanakyela feki humu ambao wanajifanya mslahi yao ni kyela tu, hiyo ni dhambi mbaya! kwamba wanachokiona kwa Dr, ni kusahau jimbo na kuwa Mtaifa na kwao hili ni baya! HAWATUFAI hivi unafikiri barabara itajengwa kwa kirahisi ndani ya miaka 4 wakati tuko kwenye mapambano...
  12. G

    Hivi ndivyo Lowassa alishiriki Richmond

    i wish i would.....
  13. G

    Hivi ndivyo Lowassa alishiriki Richmond

    seemz u know the target of this battle......advice!!!!!!!!!. i thot u r mature kumbe unajadili kama unafanya practice ya political science....try to be consrtuctive not destructive.... by the way your motive is doubting since you condemn wapiganaji......on the same issue i read in...
  14. G

    Siasa za Mbeya 2005-2010

    pindi watu wazima wanapotumia muda wao mwingi kukujadili, jua u have made a big impact in society.bravo Harrison, u have made it!
  15. G

    Je Zitto Amepoteza Uhalali wa kuwa Kiongozi?

    Ukiacha suala la Dowans, kujitoa kwenye kugombea nafasi ya uenyeketi CHADEMA - Taifa, kumeonyesha kukosa kwako principles. Huku kunapelekea wewe kuyumba na kupoteza sifa za uongozi bora. kati ya controversial ambazo hana budi kurethink the direction in political race ni hizo; 1.dowans2.vying...
  16. G

    Salam zao Apson na Mboma

    kaka nisaidie ni politiks za kimkoa au kitaifa? maana wote kulekule.....
  17. G

    Meremeta 00:00:00. EXTRA

    well done , nadhani umewatageti watu ambao wako kwenye decision position for quick responce, thats gud. nadhani kwa baadaye fikiria jinsi ya kuinform this large group which the only power they have wait next year on ballot box, they need to chew it, and make their decision, if the objective is...
Back
Top Bottom