An accident has occurred in Egypt where a boat is said to have sunk in the Mediterranean sea. Number of people (migrants) are said to have lost their lives.
Source: BBC NEWS
Tanzania katika safu ya nchi tajiri Africa na hata duniani ipo. Ila iko katika kivuli kwa maana kwamba watu wake hawanufaiki kwa lolote.
Nchi ya Tanzania imejaliwa mlima mrefu kuliko yote Africa, mbuga lukuki za wanyama, madini, maziwa na ardhi kubwa na ya kutosha.
Watanzania leo hii...
Kutokana na taarifa ninazoendelea ijisasa, kuna milio ya risasi imetokea katika jiji la Washington na inasemekana police mmoja amejeruhiwa "BBC na Aljazera reports".
Bado haijajulikana kwamba ni tukio la kigaidi ama la.
Kuna vitu viwili ambavyo kuvitenganisha daima ni vigumu; elimu na uongozi.
Kati ya hivi vipengele, ukikosa elimu ukawa kiongozi basi ujue hata utakae muongoza hataona kama ana kiongozi. Zaidi ya hapo, kiongozi bora.
Kuna bora kiongozi na kiongozi bora. Kiongozi bora ni yule anayeona...
Habari za asubuhi? Nimekuwa nikitafakari kwa undani kuona nini hasa muelekeo ya nchi yetu na haswa kuhusu upatikanaji wa katiba mpya.
Nimekuwa nikishangazwa kwa upana pale ninashuhudia watu wanao onekana kwa sura wastarabu lakini nia yao ni kuharibu nchi.
Kama katiba ni mali ya watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.