Search results

  1. riro23

    Sitakaa nihame mtandao wa Tigo!

    Mtu mweusi sio wa kumwamini kwa asilimia [emoji817].
  2. riro23

    Msaada: Laini yangu imefungiwa kwa kufanya hivi

    Kosa ulilofanya ni kumrudishia ile sms,huyo tapeli amekuripoti tcra kuwa wewe ni tapeli kwa ushahidi wa hyo sms uliyomrudishia.
  3. riro23

    Moshi Mjini: Sanamu ya askari pale YMCA ni alama ya Historia gani?

    Round about ni ya siku nyingi sana ila hyo unayoiona imefanywa kuboreshwa hyo miaka unayosena
  4. riro23

    Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

    Kipo ila kimebadilishwa mb 1024 hadi 600
  5. riro23

    Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

    Hata ukibadili line inabaki ya chuo ila mbona line ya chuo halotel haina cha zaidi.
  6. riro23

    Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

    Hakuna ila ukihamisha pesa kutoka benki kwenda benki kwa kutumia simu unakatwa tozo
  7. riro23

    Ndoto za kuishi Tanga mjini

    Karibu sana tunywe kahawa na kashata.
  8. riro23

    Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

    Acha kuhamisha pesa benki kwenda mitandao ya simu. Ndio utaepukana na hizi tozo.
  9. riro23

    Uliza jambo lolote kuhusu uskauti, utapata majibu sahihi hapa

    Skauti ni kazi ya kujitolea,usiingie skauti ukifikiri utapiga hela huku ni mwendo wa kujitolea. Ingia skauti,ishi ndani ya kiapo chao Tafuta connection za kusonga mbele
  10. riro23

    Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

    Eneo ambalo npo halotel internet ipo na kasi sana ila ttcl ni mwendo wa kobe Haya mambo ya internet yanategemeana na maeneo.na kingine watu wengi wanafkir kila eneo lina 3g au 4g kitu ambacho sio sawa kwa mitandao yote
  11. riro23

    Nawapongeza TTCL kwa kasi nzuri ya internet

    Kupitia halopesa 1000 gb1 wiki 3000 gb3 wiki menu ya kawaida *148*66# 5000 gb 6 wiki
  12. riro23

    Namna gani mtumishi wa umma anaweza kuhama idara moja hadi nyingine?

    Hii kitu ngumu sana,na ina mlolongo mrefu labda wao serikal wakuhamishe wenyewe kuna mambo ya ikama bajeti nafasi
  13. riro23

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Mbona kifurushi cha mega bando halotel 2000 gb 2 unajiunga buku buku mara 2,kupitia halopesa 3000 gb 3 kwa wiki line zote
  14. riro23

    Kwa yeyote aliyewahi kupata msaada kupitia App ya PSSSF kiganjani

    Achana na mambo ya app, nenda ofisini kwao.
  15. riro23

    Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

    Hii ipo kupitia halopesa buku 1 gb1 buku 3 gb3 zote wiki
  16. riro23

    Zantel mna shida gani?

    Halotel gb1 kwa buku wiki Kujiunga kupitia halopesa
  17. riro23

    Kampuni za kupima ardhi na mipango miji (Urasimishaji)

    Ada ya kupimiwa eneo na pesa ya hati ni tofauti kupimiwa eneo 150,000 hati inategemeana na ukubwa wa eneo
  18. riro23

    Tetesi: Ndoa nyingine ya lopolopo yavunjika

    Achana na maisha ya watu, tafuta pesa mkuu ili watoto wako waishi vizuri
  19. riro23

    Ni masharti gani ya ajabu uliwahi kukutana nayo nyumba ya kupanga?

    Nyumba ina umeme ila hauruhusiwi kupiga pasi eti umeme utaisha Redio ukifungulia kwa sauti kubwa eti umeme utaisha mapema Nikamwambia kwaheri baki na nyumba yako
Back
Top Bottom