Wabunge 10 wamehama vyama walivyokuwa wanachama walipoingia Bungeni mwaka 2010. Katika hao 1 ( John Shibuda) kajiunga na TADEA, 2 ( Said Arfi na Philipa Mturano) wamejiunga na CCM, 2 ( James Lembeli na Esther Bulaya) wamejiunga CHADEMA na 5 ( Moses Machali, Mhonga Ruhwanya, Chiku Abwao...
Mtoto wa hayati Mwalimu Nyerere, Makongoro baada ya kubwagwa vibaya kwenye mbio za urais ndani ya CCM, sasa ameelekeza nguvu zake jimbo la Kawe.
Lengeri
Bilionea Davies Mosha anajipanga vilivyo kugombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CCM. Mosha ni mzaliwa na kukulia kata ya Kiborloni, Jimbo la Moshi Mjini na kata ya Kiborlon vimekuwa ngome ya CHADEMA chini ya mzee Ndesamburo maarufu kama Ndesapesa kwa muda mrefu lakini bilionea Mosha...
Chama cha SAU kilianzishwa na waliokuwa wanachama wa CDM wakiongozwa na aliyekuwa mmoja wa wadhamini wa chama Paul Kyara baada wanachama hao kutofautiana na uongozi wa chama hicho kwa hoja ile ile ya usaliti.
Leo tujiulize ki wapi chama hiki??
Asili ya ACT inafanana na ya SAU, mgongano kati...
Chama cha SAU kilianzishwa na waliokuwa wanachama wa CDM wakiongozwa na aliyekuwa mmoja wa wadhamini wa chama Paul Kyara baada wanachama hao kutofautiana na uongozi wa chama hicho kwa hoja ile ile ya usaliti.
Leo tujiulize ki wapi chama hiki??
Asili ya ACT inafanana na ya SAU, mgongano kati...
Ofisi ya Bunge la Katiba, imemwandikia barua mwajiri wa Amina Mweta, ambaye alisaini posho ya Bunge hilo ili akatwe posho aliyoichukua katika mshahara wake.
Akizungumza na gazeti hili jana katika Ofisi za Bunge mjini hapa, Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Thomas Kashililah, alisema...
Amini mkuu wenyewe Polisi wamekiri
Jeshi la Polisi Tz ‏@PolisiTz10h
Tunawashikiria askari wetu wanne wakiongozwa na Inspeta Daud baada ya taarifa za kiintelijensia kuonyesha wanahusika na Bomu la Sowete ARUSHA
Lengeri
Mchakato wa kuwania nafasi mbalimbali ndani ya Chama hicho ulianza Julai 15 mwaka huu, na mpaka sasa ni mtu mmoja aliyerudisha fomu katika nafasi ya Mwenyekiti Taifa wakati nafasi ya Katibu Mkuu hakuna aliyerudisha fomu mpaka sasa.
Katika ngazi ya Makamu Mwenyekiti Bara, waliorudisha fomu...
The largest European oil producer, Royal Dutch Shell plc (Shell) and the Revolutionary Government of Zanzibar have signed a Memorandum of Understanding (MoU) on exploitation of gas and oil recently discovered in the Isles.
The MOU describes in particular the initial activities related to Oil...
Akihojiwa na BBC jana jioni waziri wa nishati na madini Professor Sospeter Muhongo ameijia juu na kuiponda vikali ripoti iliyotolewa na Shirika la Human Rights Watch inayoelezea jinsi unyanyasaji hususani dhidi ya watoto ulivyo katika migodi mbalimbali nchi.
Waziri amehoji kwanin shirika hilo...
1. Nec ya CCM imekataa suala la kuweka kikomo cha vipindi vitatu kwa wabunge. Badala yake imependekeza mfumo wa sasa wa bila ukomo kuendelee.
2. chama hicho kimekataa pendekezo la mawaziri wasitokane na wabunge na kutaka utaratibu wa sasa wa mawaziri kutokana na wabunge uendelee.
3. Kuhusu...
Ni swali gumu miongoni mwa wachambuzi wa siasa za upinzani hususan ndani ya chama cha CUF kama kuna mtu mwenye ushawishi au uwezo wa kupambana na kumzuia Prof Ibrahim H. Lipumba kugombea uraisi wa JMT 2015 kwa mara ya tano mfululizo.
1.Kitakwimu umaarufu/kukubalika kwa Prof Lipumba kwa wapiga...
1. Kuamini kila linalosemwa kuhusu Chadema linatoka Lumumba ni akili ya mpuuzi.
2. Dr Silaa kugombea na hata kuwa Rais si lazima awe katibu Mkuu wa chama.
Watu ndani ya chama wanaamini kuna hitajika mabadiliko ya mwenendo wa chama (rejuvination). Wanamwona Dr Silaa kasi yake na mfumo wa siasa...
Ndugu wana jamvi, katika duru mbalimbali baada ya kikao cha kawaida cha kamati kuu ya CHADEMA, ishu inayozungumzwa zaidi ni uchaguzi na upangaji safu ya juu ya uongozi wa chama kwenye uchaguzi ujao wa chama 2013.
Nafasi ya Mwenyekiti>
1.Freeman Aikaeli Mbowe - katika duru mbalimbali bado...
Kwa maelezo ya huyu mama tena kiongozi wa serikali, unaunganisha dots unaona serikali wapo nyuma ya unyama dhidi ya Dr Ulimboka.
Kwa kifupi Stella Manyanya anatuambia Serikali ilimteka Dr Uli iliipate info namna Chadema wanahusika na Mgomo... Kazi kweli kweli... Another silly season
Lengeri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.