Search results

  1. M

    Uganda at Crossroads with Gay Issue.

    Siwezi kuamini, nasoma nini hapa. Hakuna mtu hata moja hapa ambaye anaona hatari ya ile sheria ya Uganda? Leo wanasema wanaua homosexuals na kesho? Labda watu na maskio makubwa. Au watu na mikono mirefu. Wake up!! Hio ni facism!! Mimi natoka ujerumani, na hapa wale Nazis walifanya hivo hivo...
  2. M

    habari zenu wanaJF?

    Nimefurahi kuona forum hio na ninaomba kuingia, hata kama bado sijajua kiswahili kabisa. Sasa hivi niko mbali kidogo ya tanzania ila moyo yangu inakaa kule. Ntafurahi kupata nafasi kukuta watu hapa na kujua mambo ya tanzania inaendelaje.
Back
Top Bottom