Search results

  1. A

    Hakuna Demokrasia Tanzania, Wajerumani Watangaza

    Eyes that do not believe what they see, accompany the head when it is chopped off. ~Nyakyusa Proverb
  2. A

    Hakuna Demokrasia Tanzania, Wajerumani Watangaza

    kuna maneno nimeyapatia rangi nyekundu. Haya ndiyo nayapa jibu hili kuja kwako. wewe ni mjinga. Communist Party of China ndiye mfadhili mkuu wa CCM. Hoja yako ya awali ulihesabu ufadhili wa CDU kwenda Chadema kama dhambi. Ili hoja yako kuwa kweli ni lazima ulaumu na ufadhili wa CPC kwenda CCM...
  3. A

    Hakuna Demokrasia Tanzania, Wajerumani Watangaza

    mbona hueleweki!? Tulinde AMANI ili kikundi cha mafisadi kiendelee kula rushwa bila kupingwa? Au unachotaka kuwaambia watu ni kwamba huu ni mgogoro wa CPC ya China na CDU ya Ujerumani? na si mgogoro wa kambi mbili za Watanzania, mafisadi kwa upande mmoja na wasaka haki kwa upande mwingine...
  4. A

    Hakuna Demokrasia Tanzania, Wajerumani Watangaza

    mh...ok! kwa hiyo wapigwe tu....tupa bomu kwenye mkutano wakome. kaaazi kwelikweli. Wale watu pale Arusha walikuwa wamefanya kosa gani hasa?
  5. A

    Hakuna Demokrasia Tanzania, Wajerumani Watangaza

    Asante kwa nyongeza linganishi. Kwa hiyo tuamini haya matukio mawili yanalingana au kufanana? Moja hili chini na jingine chini zaidi. Yanalingana kweli?
  6. A

    Hakuna Demokrasia Tanzania, Wajerumani Watangaza

    Nakubaliana na wewe Mkuu. Huu ni ushenzi kabisa! Nchi iliyokuwa hifadhi ya wakimbizi watu wake wameanza kuwaza wakajifiche wapi? Mimi naisubiri kwa hamu ile video ya Chadema inayoonesha Polisi aliyelipua mkutano Arusha akitokomea katika gari la Polisi wa Tanzania. nina hamu sana kuiona hiyo Video.
  7. A

    Hakuna Demokrasia Tanzania, Wajerumani Watangaza

    Watu wangu wanakwisha kwa woga.
  8. A

    Hakuna Demokrasia Tanzania, Wajerumani Watangaza

    Kikwete kupewa Mo Ibrahim itakuwa kashifa kubwa sana Mkuu.
  9. A

    Hakuna Demokrasia Tanzania, Wajerumani Watangaza

    The international community is apparently concerned democracy is not making headway in Tanzania as citizens continue to live the horrors of a cruel police State which talks democracy but maims and kills people.. No major progress has been made toward democracy in Tanzania during the past...
  10. A

    Kiini cha upungufu wa amani Tanzania si dini ni njaa

    Matukio ya uhalifu ambayo yamekuwa yakiongezeka Tanzania kuanzia mwaka 2000 yaanaweza kuwa na uhusiano na sera mbaya za uchumi, au hata kipato cha taifa kushikwa na kundi dogo la watu kwa njia ya rushwa nchini. tumelaumu udini kwa uchomaji wa makanisa na ujambazo kuongezeka, lakini uchambuzi...
  11. A

    Wazungu wamezidi sasa...wanataka wake zetu eti!

    chocolate wangu wanantosha mie. nitaende kutafuta hao wengine wa nini?
  12. A

    Wazungu wamezidi sasa...wanataka wake zetu eti!

    kuna mchangiaji mmoja kasema hii site inaweza iwe ni ya wanaigeria. na wewe nadhani unajua wanaigeria ni matapeli sana. unaweza uingie huko ukute wanataka kiingilio. na hela ikitoka bas. ndo inakuwa mwisho wa urafiki hapohapo. hii mi naona kama inaweza kuwa na ukweli zaidi. hii dhana ya...
  13. A

    Wazungu wamezidi sasa...wanataka wake zetu eti!

    du...tafsiri yako ya mke mbona haijaenda shule hii. wewe unadhani thamani ya mke ni ngono tu? huoni kabisa mshauri hapo? huoni rafiki hapo? huoni mlezi wako unapoumwa hapo? natamani kukutukana lakini basi tu...ngoja nikuache. hujui usemalo. eti ngono! bas tu.
  14. A

    Wazungu wamezidi sasa...wanataka wake zetu eti!

    nakaa magomeni makuti. njoo jioni-jioni hivi ukiona siku tanesco wamekata umeme
  15. A

    Wazungu wamezidi sasa...wanataka wake zetu eti!

    uchumi baba uchumi! utajikirimu upate hela?
  16. A

    Wazungu wamezidi sasa...wanataka wake zetu eti!

    sijasema nashangaa ujue. mi naona wasiwasi tu hapo. tutaweza kushindana kweli? au ndo itakuwa kama gesi wabaki wao tu kwa sababu za kiuchumi. we huoni pana mtego hapo?
  17. A

    Wazungu wamezidi sasa...wanataka wake zetu eti!

    Wametaka madini zetu, tumewakubalia kuwekeza. Wametaka gesi, tumewakubalia. Sasa wanataka wake zetu.... nionavyo mimi wakati wa kutafakari na kuchukua hatua umefika sasa. Ushahidi huu hapa naweka.
  18. A

    Kikwete Amevurugwa na "Kundi la Musoma?"

    Asante sana Mkuu kwa ufafanuzi huu. Wengi wametoa ufafanuzi kama huu pia, akiwemo Manyerere Jackton ambaye ni mtoto wa ndani kabisa katika familia ya Nyerere. Kwa hiyo nadhani limeeleweka hili. asante sana kuchangia
  19. A

    Kikwete Amevurugwa na "Kundi la Musoma?"

    ha ha ha ha! nimekusoma mkuu. ila ujue kuna vijimambo vinaweza vitoke hapohapo kijiweni na viwe ukweli fulani hivi. sema tu huwa hivyo vineno vinatiwa chumvi nyingiiiiii. lakini ukifuatilia unaweza ukute pana punje ya ukweli hapo. ukweli uwongo?
  20. A

    Kikwete Amevurugwa na "Kundi la Musoma?"

    stori inakuhusu; au?
Back
Top Bottom