Search results

  1. Ponjoro

    Umenena vizuri bwana NICOLAS MGAYA

    Mshahara kima cha chini ni 720,000/- SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limependekeza mshahara wa kima cha chini uwe sh 720,000. TUCTA imekuja na pendekezo hilo huku kukiwa na taarifa kwamba serikali imepandisha kiinua mgongo kwa wabunge kutoka sh milioni 43 za awali hadi sh...
  2. Ponjoro

    Kwanini wasanii wengi wanalalamika kuibiwa nyimbo na diamond?

    Kumekuwa na malalamiko ya wasanii wengi kulalamika kuibiwa nyimbo zao na msanii diamond platinum, alivyotoa "mbagala" kuna bwamdogo aliyeimba "tandale " alilalamika kuibiwa hiyo nyimbo,alivyotoa kibao cha nataka kulewa hbaba alikuja juu na kulalamika kuibiwa nyimbo yake na sasa hiki kibao kipya...
  3. Ponjoro

    Thamani ya bunge letu itapanda lini?

    Nasikitika sana kwa vitendo vya ajabu ambavyo vinazidi kushamiri katika bunge letu. Kitendo cha mheshimiwa sugu kubebwa mzobe mzobe na polisi wa bunge ni suala la udhalilishaji kabisa sidhani kama ni kitendo cha kawaida kufanyika bungeni, inanishangaza hata jinsi bunge hili linavyoendeshwa...na...
  4. Ponjoro

    Helllooooo

    habari zenu wana JF....
Back
Top Bottom