Search results

  1. B

    Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

    Kwani wachezaji wa National team wanaocheza kwenye timu zao za Taifa na kisha kucheza WC wanatoka hewani ?
  2. B

    Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

    We unaongea nini wewe dogo, kweli yaani hizo club ulizozitaja unaweza kuzilinganisha na club za Bongo hata Al Ahly na bajeti yake kubwa haiingii hata robo kwenye hizo timu
  3. B

    Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

    Kwahiyo Macron Rais wa France alivyoenda Qatar kuona fainal ya France vs Argentina nayo ulikuwa ni utoto?
  4. B

    Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Huyu masai wa kimara namjua ni kimeo over kimeo ilaa huyo kimaroa sijamfuatilia sana ila naamini hatua stahili zimechukuliwa dhidi yake sidhani kama viongozi wamekengeuka
  5. B

    Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

    Tuanze kwanza na tume huru dhidi ya mashambulizi ya Tundu Lisu kwanza
  6. B

    Profesa Ruth Meena apingana na Profesa Mkandalla, asema Wanawake siyo Kundi Maalum kwa sababu Wanawake ndio wengi kuliko Wanaume

    Huyo prof.alitakiwa kwanza kupingana na uteuzi wa wabunge wa viti maalum
  7. B

    Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    Hivi wewe unaweza kuvaa viatu vya mama yako au vya mke wako?embu jiongeze basi uelewe.Aliyepita ni alieyepita na huyu ni huyu ni watu wawili tofauti
  8. B

    Inafikirisha sana kuona viatu vinakupwaya lakini unajipa matumaini ya kuendelea na safari ya uongozi kwa Watanzania

    We mzee una akili ndogo kama kisoda viatu kutokumtosha siyo maana kwamba hana uwezo ni hivi mfano mdogo tu.Kama mwendazake alikuwa anavaa namba size 7 na yeye size namba 5 obviously hivyo viatu vya mwendazake haviwezi kumtosha hata kama ni vya kampuni moja.Kwa mfano huo mdogo nafikiri utakuwa...
  9. B

    Dkt. Mwigulu, inakuwaje mnatuambia Miradi ya Hayati Dkt. Magufuli inaendeshwa kwa mikopo mikubwa na migumu kuhimilika?

    Wacha uongo wewe hao hata wasio kwenye ajira rasmi wanalipa kodi ya VAT au hujui kodi ya VAT anayeilipa ni mlaji?
  10. B

    Mbowe alisema kachanjwa chanjo ya Corona, mbona anaendelea kuvaa barakoa? Nchi walizochanja nao wanaendelea kuvaa barakoa

    Kwahiyo ukipima ngoma majibu yakaja negative basi uendelee peku peku bila zana kisa iko negative?
  11. B

    Magufulism and Nationalist People Party kupambana 2025

    Ndugu yangu umeandika utumbo mtupu
  12. B

    Air Tanzania (ATCL) yasitisha safari za Ndege kwenda Mumbai India

    Tulitakiwa kuanza kuzuia wanaotoka huko kuingia nchini.
  13. B

    Uungwana: DC wa Iringa Mjini, Richard Kasesela aomba radhi kutokana na kuteleza kwa ulimi wake

    Akijiuzulu atakosa mafao na atatakiwa arudishe one month salary ngoja atapangiwa kazi nyingine
  14. B

    Mwisho wa Nape kisiasa utakuwa wa aibu kupita wa Benard Membe

    Nyie MATAGA embu jadilini contents za Nape na siyo kumjadili Nape zama za kujadili watu zimekwisha embu kuweni GT basi
  15. B

    Lissu asema Hotuba ya Mama Samia ni ile ile ya Magufuli, sikubaliani nae

    Acha kujitoa ufahamu wewe MATAGA,kwa katiba hii hata CDM waweke mgombea malaika hawatoboi
  16. B

    Misamiati: Mabeberu, Wanyonge na Tumbua imekufa rasmi

    Hata Marekani,Urusi na China kuna mabeberu inshort mabeberu hawakwepeki cha msingi ni kuishi nao kwa akili kwa sababu we need each other mchana unamuita mtu beberu giza likiingia unaenda kumuomba msaada none sense
  17. B

    Tumeudharau ugonjwa wa Corona kwa kukosa Maarifa na itakuwa inaondoa mmoja mmoja?

    We mwenyewe hautoi takwimu embu tupe takwimu za kwako kwanza
Back
Top Bottom