Search results

  1. K

    KEFA ODAO... ndio mimi!

    Daah! Namshukuru sana Mh. The invisible kwa kuniruhusu niwasalimie wana jf na kuji introduce. Infact kwa leo sina mengi zaidi ya kuwatakia kila la heri, kwanza mie mwenyewe nimechoka saana kwa pilikapilika za kutwa nzima, ngoja tu nikajipumzishe . Tukutane kesho... Inshallah!:smiling:
Back
Top Bottom