Search results

  1. Z

    Nataka kuwa bilionea ifikapo 2025 msaada please

    Waungwana nawasilisha kwenu hoja yangu naomba nipatiwe mwongozo niufuate, Mimi ni kijana wa kitanzania nina miaka 30 kipato changu kwa kazi ninayofanya ni 1200000 per month, nina mke na watoto wawili wa miaka 5 na mwingine mwaka 1. Nawaonea wivu sana Bakharesa na Mengi na mimi nataka niwe kama...
  2. Z

    Mbona mji wa Moshi unavunja katiba makusudi?

    Mimi si mwanasheria ila kwahili limenisikitisha. Ukiwa mji wa moshi ukitema mate faini 25000,na ukitupa takataka hata ganda la pipi faini yake ni 50000 au kifungo miezi sita jela. Sasa hawa wachaga nguvu hii ya uonevu kwa wananchi wamepewa na katiba ipi? Au moshi si tanzania ninayoishi!
  3. Z

    Eti CDM wakombozi? nyinyi jiongopeeni tu

    Kama kuna KATIBU wa chama cha siasa anaelipwa pesa nyingi barani Afrika ni Padri Wilbrod Peter Slaa. Analipwa 15m kwa mwezi na posho ya laki saba 700,000 kwa siku kwa kila kikao na 1500,000 kwa siku nje ya mkoa yaliopo makao makuu ya chama. Huu sio UFISADI tu bali ni WIZI Tazama macho...
  4. Z

    Hapa ndio tulipofika na kule ndio tunapoenda

    Habari zenu great thinker, Napenda tujadili hili kwa akili za mbali zaidi kwan kila naposoma post humu jukwaani naona chuki na hasira zilizopo mioyoni mwenu hasa wakristo na waislam Mtu akiweka post ya maana labda akihitaji kuwapa watu elimu hasa ya MUNGU anachoambulia ni matusi kutoka upande...
  5. Z

    Dah! hivi kwanini mchungaji Ambikile Mwaisapile asishtakiwe?

    Wengi tunamjua kama babu wa loliondo huyu tapeli, Kaua watanzania wengi kwa sumu(kikombe) lakini ajabu serikali bado inamwangalia tu, binafsi kaniulia mama yangu mdogo na rafiki yangu Nobert, sasa serikali imemshindwa au kwakua ni mkristo? Mbona kina Ponda mmewashughulikia ila huyu muuaji...
  6. Z

    Chadema vipande vipande kigoma

    Wananchi wa jimbo la Kigoma kaskazini waliokua wanachama wa chadema wamevunja ofisi ya chama na kuharibu kwa moto mali za chama hicho pamoja na kuchoma kadi zao za uanachama kwa kile kinachodaiwa kupinga maamuzi ya kamati kuu ya chama hicho kumvua nyadhifa zote mbunge wao kipenzi Mh. Zitto...
  7. Z

    Sisi wote watanzania na aliye juu ni MUNGU tu

    Samahani waungwana kama kwa namna moja ama nyingine nitakua nimewakwaza sio kusudio langu. Kabla ya mwaka 1961 watanganyika tulikua wamoja na tulipendana na tuliungana ili kumuondoa mkoloni atuachie nchi yetu tukiwa na lengo moja la usawa na heshima katika maisha kama watanganyika na kule...
Back
Top Bottom