Search results

  1. J

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    Kauli aliyotoa ni Nzito. Clinically, he is a threat to himself and therefore to the society at large. He should not be in general public. Layman terms, kama hajali maisha yake na anasema hadharani, je atajali ya wengine? Someone throw him a rope plizzzzz.
  2. J

    Katibu mkuu wa Wizara ya Afya lawamani (Blandina Nyoni)

    Maelezo zaidi kuhusu huu mjadala bungeni: Source: http://www.parliament.go.tz/POLIS/PAMS/Doc/HS-16-11-2009.pdf Kuanzia ukuraza wa 27.
  3. J

    The Caster Semenya Saga:Berlin and Beyond.

    Michael Phelp anyang'anywe medali. Kama wanasema binti Semenya ana genetic/rare medical condition inayompa "unfair advantage" basi wamvue Michael Phelp medali zote! Yeye pia ana genetic/rare medical condition inayompa advantage ya pekee ambayo siyo kawaida kwa binadamu. Soma habari za Phelps...
  4. J

    WaTanzania tuige! Brazil Rejects & Returns British Toxic Rubbish!

    Toxic waste returns from Brazil Sending toxic waste abroad is illegal under...
  5. J

    Katibu mkuu wa Wizara ya Afya lawamani (Blandina Nyoni)

    Mengi yamesemwa bila kujua qualifications kamili za wahusika. Naona ujuzi wa Chale unajulikana hadharani kwa hiyo hauhitaji ziada. Ninachofamu ni kuwa Sawe ana Masters ya "Health Care Management" kutokea UK, amekuwa katika hili jukumu la kushughulikia wagonjwa wa kupelekwa India kwa miaka sio...
Back
Top Bottom