Search results

  1. chura dume

    Uchaguzi 2020 Hasna Mwilima hafai kupeperusha Bendera ya CCM Kigoma Kusini

    Wewe utakuwa ni Kafulila tu. Huna lolote wana kigoma wamekukataa sasa unaanza majungu yasiyo na maana yeyote. Kama angekuwa hana kauli nzuri , hafiki jimboni na hana msaada na wananchi wake je mbona wamemchagua tena kwa kishindo? Au unataka kutuambia wajumbe waliomchagua sio wakazi wa jimbo...
  2. chura dume

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli hakumtuma mzee Aggrey Mwanry kugombea Tabora, amemstaafisha

    Hovyooo uandishi wa hovyooo. Hivi hujui kwamba Mzee Mwanry aliwagi kuwa mbunge wa Siha na naibu Waziri katika awamu ya nne chini ya Jakaya Kikwete? Atagombeaje Tabora wakati abajua fika yeye si mwenyeji wa huko na ana jimbo lake wanalomjua la Siha?
  3. chura dume

    Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    Aibu na dhamira mbaya aliyokuwa nayo tokea awali ndivyo vinavyomtesa Waziri Jafo mpaka analazimisha kuwabandika wagombea wachache wa upinzani ili kuficha aibu zao.
  4. chura dume

    Kafara za ngono

    duh! hapa duniani kuna siri kubwa sana. watu wanaishi maisha yaliyojaa siri kupita kiasi. tusiwaone tu kwa juu juu tukataka kuwa kama wao kumbe wao nao wana mambo yao mengine pembeni wanayajua wao wenyewe tu.
  5. chura dume

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    USHAHIDI UNAOUTAKA NI HUU HAPA. HILI NI TANGAZO LA TCRA
  6. chura dume

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    rejea tangazo lilitolewa na TCRA kuhusu wamiliki wa WASAFI TV. wapo wamiliki watatu na wametajwa kwa majina yao na kiasi cha hisa wanazo miliki au angalia link hii hapa Wamiliki Wasafi TV waanikwa, hisa za Diamond ni asilimia 45
  7. chura dume

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    upeo wa vijana wa Kitanzania aina hii ni wa kusikitisha sana. duh
  8. chura dume

    TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    kama unaujua vizuri mgawanyo wa hisa za wasafi tv naimani utaelewa vyema kuwa ni nani mwenye maamuzi ya mwisho katika maamuzi yote makubwa ya uendeshaji wa wasafi tv. kwa mgawanyo wao wa hisa Diamond ana miliki si zaidi ya 45% ya hisa na Joseph Kusaga na mkewe wao wanamiliki zaidi ya 50% ya hisa...
  9. chura dume

    Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

    Naona mwenzetu utakuwa umeielewa vibaya hiyo Surah Al kahfi aya ya 18:83-86 inayosema “83-Na wanakuuliza khabari za Dhul- Qarnaini. Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake.84 -Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu.85 - Basi akaifuata njia. 86 - Hata alipo fika...
  10. chura dume

    Zitto: Magazeti mawili yakaliwa kooni kuvujisha siri ya uhusika wa Muhongo kupandisha umeme

    Bila ya shaka were uliyoandika haya ni Muhongo au unatoka familia ya Muhongo. Inaonekana wazi unapigia debe. Hata mtu akiwa mzuri vipi siyo utetezi wa kufanya makosa na kama kuhusu hali ya umeme basi na Mramba naye anastahiki sifa hiyo kwakuwa yeye ndiyo aliyekuwa Mkurugenzi na alishiriki moja...
  11. chura dume

    Kagera, tubebe msalaba wetu wa tetemeko, njaa, UKIMWI mpaka kwenye sanduku la kura mwaka 2020!

    Huo mfano wa Shein na asilimia 94 uufute kabisa. Pale kulikuwa na uchaguzi wa wananchi au dola ndiyo iliyompigia kura Shein. Kama uchaguzi halali Zanzibar ulikuwa ni 25 October 2015 na matokeo yake wanayajua ndiyo maana wakaogopa kutangaza.
  12. chura dume

    Hotuba ya Obama: Demokrasia inakuhitaji

    Asilimia wala hazikumdanganya Hillary Clinton kwani kwa popularity vote amemshinda trump kwa kura nyingi sana bali mfumo tata wa uchaguzi wa marekani ndiyo uliompa ushindi Trump ila kwa idadi ya kura za wamarekani wote mshindi ni Hillary Clinton
  13. chura dume

    Kumekucha! Kampuni ya Dangote yaweka kila kitu hadharani hivi punde tu!

    Unataka kutuhakikishia kuwa mahojiano waliyofanya na Forbes nayo ni ya uongo? Au ni Mr Machumu ndiyo alienda Forbes? Acha propaganda rahisi na za kitoto
  14. chura dume

    Majini/Mapepo ni roho Chafu/Ovu ni Malaika wa Shetani asilimia 100. Fahamu aina na kazi zao

    The Five Types of Jinn The Five Types of Jinn and Their Threat to Your Digital Security Islamic belief divides sentient beings into three categories. In order of creation, they are: the angels (malayka), the hidden ones (jinn), and humankind (nas or banu adam). Angels are made out of light...
  15. chura dume

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Wewe najua wako ni Maalim Seif kwa interest zenu na hamjali chochotebkuhusu maendeleo ya Tanzania kwa ujumla hivyo hautusumbui sana kwani kwetu sisi huna faida.
  16. chura dume

    Wiki ya kwanza: CCM wameanza na kampeni za kisayansi

    Uliwaona wakati wakisombwa na Malory kutoka mikoani? Una ushahidi unaoweza kuuleta hapa? Ni Nina ushahidi wa Chadema kuwabeba watu katika malori kutoka mikoani kama hawa hapa.
  17. chura dume

    Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Wengi wao ni wavivu kusoma na wanachojua wao ni kulaumu tu
Back
Top Bottom