Search results

  1. L

    Mgombea wa CHADEMA Mufindi Kaskazini Ajiunga ACT

    Baada ya jina lake kukatwa na vikao vya juu aliyekuwa Mgombea wa Chadema Jimbo la Mufindi Kaskazini Bwana Utamwa Asheri amejiunga na ACT mchana huu. Amechukua fomuj kwa chama hicha tayari kwa kupambana na Mh Mgimwa wa CCM. Amechukua hatua hiyo baada ya jina lake kukatwa wakati aliongoza kura za...
  2. L

    Ingeweza kuwa mbaya zaidi

    Kuna mjita mmoja ambaye alizoea kusema "hii ni sawa,hali ingeweza kuwa mbaya zaidi". Kila watu wakimweleza matatizo yao jibu lake ni hilo hilo. Siku moja jirani yake alirudi kazini mapema na kumkuta mke wake akifanya mapenzi na mangi. Kwa hasira akawapiga risasi akawaua na yeye akajiua. Majirani...
Back
Top Bottom