Search results

  1. yuclighty

    Nimekosea?

    Jamani mimi ninarafiki yangu ambaye nilikutana nae sehemu fulani ya kupatia lunch na breakfast. Sasa tumeenda basi akaanza kuonyesha uanaume wake si akaniibukia oooh nakupenda. But mimi ilo wazo wala halikuwepo kabisa coz nilijua ananizingua tu, sasa siku zinavozidi kwenda nae kasi inazidi...
  2. yuclighty

    Ni ugeni tu!

    Habarini za usiku huu wana MMU! Sina mengi saana ila tu ni ujio tu wangu humu ndani, maana jogoo la shamba haliwiki mjini, xo nkishazoea ntawika, usiku mwema wapendwa.
Back
Top Bottom