Search results

  1. A

    Je ni uoga tu au kuna la zaidi?

    am tryin 2 digest ur theory of being a play boy en the point of u being mo careful.
  2. A

    Je ni uoga tu au kuna la zaidi?

    mwe!!:confused:
  3. A

    Ndoa za siku hizi

    Geof , that is ur mentality en no body can change that other than urself, Ila nikirudi kwenye mada Kaka Kilambi yuko sahihi baadhi ya maeneo na maeneo mengine anahitaji kusahihishwa kama alivyotanguliza kusema yeye mwenyewe. maeneo ambayo mie nadhani yuko sahihi pale mama mwenye nyumba...
  4. A

    Tulikosea kumchagua JK 2005, tungemchagua nani?

    acheni kushabikia msiyoyajua jamaniiiii mmeshakaa nchi zinazotawaliwa na jeshi nyie au mnaleta unazi? aka ka uhuru uliko nako sasa hivi katakuwa adimu
  5. A

    Tulikosea kumchagua JK 2005, tungemchagua nani?

    kwangu simuoni yeyote ambaye asingechemsha , nilikuwa namwamini mbowe lakini kwa haya yaliyotokea juzi kwenye uchaguzi mkuu wa chadema kanitia mashaka zaidi. hiyo CUF ndo haiko kabisa kwenye akili yangu maana huyo lipumba na mwenzie wamenichosha hata kuwaangalia kwenye Tv. na wote hawa makelele...
  6. A

    This information needs to be shared!

    Duh asante mkuu, nilikuwa sijui hiiiiii, Mungu mkubwa huwa natumia cattle kuchemsha chai
  7. A

    Nani anatakiwa abadilike mimi au mke wangu?

    hahhahahahhahahaaaaaa tena hujawahi ona , labda tofauti yao ni kwamba wambea wa classic saloon wanapiga umbea wa 'Bossip' but celebrities wa kibongo, miss nani kafanya nini, marketing manager wa kampuni flani anatoka na demu flani, beyonce inasemekana anamcheat 'camel' na jamaa gani. lakini all...
  8. A

    Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

    hahahhahahaahahahaaaaaaaaaaaaaa yaani umenichekeshesha hapoo FL ile mbaya hivi hujajuaaa humu kuna kila aina ya ubongo? usijali waache wao watanie lakini wako wa ubani anajua unachomaanisha, nimeipenda style yako ya kusema nakupenda kwa mumeo.Hongera
  9. A

    Mpoki a.k.a Bepari la kihaya

    watu bwanaaa majina hayohayo yakitajwa kwenye nyimbo za twanga pepeta,FM academia,Akudo Impact............ tunazichekelea na kuzifatisha kuimba huku tukitoka jasho kulicheza sebene , lakini akitaja mpokiii oooooh naboreka ................... acheni chuki binafsi, au mkuuu ndo wale kundi la akina...
  10. A

    Women: When is it OK to go braless?

    mhhh shost ukilipata kundi lako usiweke hadharaniii maana akina fidel wasije wakakung'ang'ania kama ruba
  11. A

    Women: When is it OK to go braless?

    Uwwwiiiiiiiiiiiiiiiiii , jamani napiga ukunga, mods nisameheni ila kwani wanaume wa JF hawa.......? ila nawe mdakuuuu , unakaanga mbuyu tu uwachieee.............................
  12. A

    Women: When is it OK to go braless?

    Well kwangu mie naona inategemeana na maumbile ya mtu binafsi, unajua kuna watu wengine wameumbwa na maziwa makubwa sasa hawa wa aina hiii wengi wao huwa wanaona kama wameonewa tangu usichanani huwa wanajaribu sana kuyaficha kuna wengine huwa wanapata kibyongo cha kujipa wenyewe kisa wanajaribu...
  13. A

    Women: When is it OK to go braless?

    heheheheeeeee kaaazi kwelikweli na sie wenye kandambili za Hashim Thabit? tusemeje nyamayao
  14. A

    Je ni nani Mzalendo wa kweli: Zitto, Pinda, JK au Lipumba?

    kaka mbona sijamuona kwenye list Mh. Mbowe? au huoni kama anastahili kuwa kwenye list ya wanaodhaniwa wazalendo?
  15. A

    Women: When is it OK to go braless?

    hahahha kweli kaizer leo umeamkia ufukweni,............tena nadhani ukaona wanawake wanogelea bila nguo kifuani duh! kesho ntakwambia ninavyofeel ngoja niwahi kunyonyesha
  16. A

    Wabongo kutotumia akili

    mhhh yangu machooo mwe!!
  17. A

    Mwanafunzi Akamatwa na Vocha za Vodacom za Tsh. Mil. 90

    kama ndo hivyo usemavyo basi jukumu lako kutueleimisha kwanza jinsi ugumu wa hiyo issue kushirikishwa wafanyakazi wa voda badala ya kushambulia uwezo wa mtu wa kufikiri, kumbuka kila mtu ana field yake kama wewe mtaalam wa IT,haimaanishi unayajua mambo ya sheria au accounts, and viceversa.
  18. A

    Mwanafunzi Akamatwa na Vocha za Vodacom za Tsh. Mil. 90

    kesi ngapi za wizi wa bank zimeprove kwamba wahusika wanakuwa watu wa ndani wa bank wafanyakazi au walinzi, sasa hizo vocha za mil 90 , mtu wa nje atazipataje bila ya kuwa na inside info en help? mtazamo wangu wewe ndo umekurupuka kumchenjia dada hapo juu.na kama kweli great thinker as you claim...
  19. A

    Which is better: Single or Unhappily Married?

    Racial Differences On Psychological Well-Being Of Never-Married and Divorced/Separated Women Hanae Kanno, MSW, MA , University of Pittsburgh, PhD Student, Pittsburgh, PA Hyunzee Jung, MSW, University of Pittsburgh, PhD student; Graduate Student Assistant, Pittsburgh, PA...
  20. A

    Which is better: Single or Unhappily Married?

    Mummy nna maoni tofauti kidogo, TRIPLETS said it well, uwe ndani ya ndoa usiwe ndani ya ndoa what matters ni mapenzi, na sote tunajua kwamba kwenye mapenzi ndo kwenye maumivu haijalishi uko married or not. Japo tunajua kuwa ukipenda utaumia lakini pia nature haituzuiii kupenda ,tunapenda na...
Back
Top Bottom