Japo hujasema unatafuta wapi lakini kwa Dar es Salaam bei ya sqm moja si chini ya Tshs 10,000, ambapo kw asqm zako hizo 2,500 ni si chini ya Million 25,000,000! Kwa mikoani nako sidhani kama kuna kiwanja kimepimwa (japo sijui kama aulimaanisha kupimwa tu bila hati) si chini ya Shs. 5,000 kwa sqm...
Hapo kwenye red!! Kuna tofauti kati ya Self contained room na Master Bedroom! Chumba kuwa selfcontained tu hakikifanyi kiwe master bedroom! Nyumba inakuwaje na Master bedrooms mbili? Unless the master himself ana wake wawili:teeth::teeth::teeth::teeth:
Kuna siku nilipata matatizo ya customer care TSN Supermarketlakini nilikuja kugundua hili ni tatizo la watanzania wote, na kwa maana hiyoni tatizo la wafanyakazi zaidi na wala si Policy ya kampuni. Katika jitihada zakumsaidia mwenye kampuni ambaye ni Mzawa na mtanzania mwenzetu, nilipiga nambaya...
Hapo nimekusoma na ndio maana wanasema all Jews are Israelites but not all Israelites are Jewish, sawa kabisa na kusema wasukuma wote ni Watanzania lakini si Watanzania wote ni wasukuma!!!
Mkuu shoprite wameshindwa kulisoma soko la Tanzania! Mwanzoni walipiga bao kwa sababu kulikuwa hakuna ushindani!
Tatizo kubwa la Shoprite ni kwamba wame-fail katika products definition na market segmentation! Zaidi ya 70% ya products zao ni imported, kuanzia viazi, matikiti hadi vitunguu! Soko...
Ni eneo la Mbezi Mwisho karibu na Mbezi Luxury Resort! Unawezapita Mbezi Kimara au Goba kupitia Makongo juu
Vyumba vitatu, choo, jiko na sitting room, hizi ziko nne (Bei Shs 300,000 kwa mwezi)
Vyumba viwili, choo, jiko na sitting room, hizi ziko mbili (Bei ni shs. 250,000 kwa mwezi)
Vyumba...
Ukitaka kugundua asali iliyochakachuliwa kuna njia tatu!
Weka maji kwenye glass then tia tone la asali. Kwa asali isiyochakachuliwa, asali hiyo itaenda moja kwa moja hadi chini kwenye kitako cha glass
Chukua njiti ya kiberiti, iloweke kwenye asali, ukiwasha lazima njiti iwake
Chukua karatasi...
Acha kupotosha watu na mipasho yako! Wewe uko kikundi gani cha taarabu! Hii hoja https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/496709-yes-tunahitaji-apartments-tanzania-lakini-si-kila-mkoa.html umeikimbia sasa unakosa hata pa kushika!
Tuendelee na hoja yetu, na usifikiri kila ghorofa...
ZeMarcopolo,
Naona unachokifanya ni kuanza kupotosha! Hata hivyo nimekupa maelezo ya hoja zako zote hizi, kila moja!
Ungekuwa unatulia unasoma ninachokiandika kama ambavyo nasoma na kuzichambua posts zako tungeenda sawa na mjadala ungekuwa na manufaa hata kwa wengine, lakini kwa sababu una...
Nimekupata mkuu TZX2012, nafikiri lugha za kejeli, matusi na dharau amezianzisha ZeMarcopolo, nikavumilia lakini nikaona anaendelea, japo nimekuwa nikimsihi tujikite kwenye mada halisi, lakini mara nyingi amekuwa akikimbia hoja na kufanya mipasho zaidi! Apologies for that, na mchango wako ni...
Another cheap question from a Great Thinker!!!
How international is an international language? And how does this relate to our topic on apartments? Please do not dare to find cheap means of skipping my questions!!!
Utumbo gani huu unaandika hapa jamani? What is a gated community? Dont you know apartments are subject of a gated community?
Dont you understand you can have a gated satellite city, and so a gated community with apartments, villas, town houses, shopping mall, hospital, school, play ground...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.