Search results

  1. C

    Ofisi za DECI zavamiwa

    Ni heri serikali ilivyoingilia kati na kuokoa maelfu zaidi wasiingie katika mtego huu. Otherwise ingekuwa kiama
  2. C

    Je, ninaweza kuacha kazi in 24Hrs kutokana na mwajiri kutotimiza makubaliano?

    Kama nilivyosema hapo awali, mkataba unanitaka aidha kutoa notice ya mwezi mmoja and kama nitaamua kuacha kwa muda mfupi, nimlipe mwajili fedha taslimu inayolingana na mshahara wangu wa mwezi mmoja. tatizo langu la msingi nililonalo ni kwamba, ikiwa na yeye hakuweza kutimiza makubaliano...
  3. C

    Je, ninaweza kuacha kazi in 24Hrs kutokana na mwajiri kutotimiza makubaliano?

    Msaada kwenye tuta, Mimi nimekuwa katika ajira na mwajiri wangu mpya yapata mwaka sasa. Katika mkataba wa ajira, tulikubaliana mambo kadha wa kadha (mbali na mshahara), ni pamoja na marupurupu kwa ajili ya kodi ya nyumba, mawasiliano na usafiri. Hata hivyo, tangu mwenzi wa kwanza katika...
  4. C

    Ikiwa mwajiri hajatekeleza makubaliano, naweza kujiuzuru kazi in 24 hrs?

    Msaada kwenye tuta, Mimi nimekuwa katika ajira na mwajiri wangu mpya yapata mwaka sasa. Katika mkataba wa ajira, tulikubaliana mambo kadha wa kadha (mbali na mshahara), ni pamoja na marupurupu kwa ajili ya kodi ya nyumba, mawasiliano na usafiri. Hata hivyo, tangu mwenzi wa kwanza katika...
  5. C

    Mfanyabiasha Mzamir afanyiwa kitu mbaya Uchina

    Hata mie ningependa niwajue hao "wake zetu, dada zetu na wadogo zetu" walioonjeshwa mahanjumati na Muzamil. Sinashaka "hawakufulia, tena bila sabuni" Lol!!
  6. C

    Chikomo asili yake wapi?

    Mkuu, mimi kwa namna moja naweza kukubaliana na wewe kabisa. Naanza kuliona tatizo kwa Abdul, maana majibu yake yamejaa jazba. Hoja ya msingi ya Bazo naona bado haijajibiwa kinagaubaga. Respect...
  7. C

    Chikomo asili yake wapi?

    Naanza kupata wasiwasi na baadhi ya wachangiaji juu ya uwezo wao wa kuchangia hoja. Ikiwa kila mwenye kutatizwa na jambo lolote hapa angeamua kuwa anaenda mahakamani, bila shaka hii forum ingekuwa na post 2 tu kila mwezi! Naamini hapa ni mahala huru pa kujadili mada mbalimbali, ilimradi tu...
  8. C

    Maslahi ya Waisrael yawachanganya MENGI na SAKINA DATOO

    Kaaazi kwelikweli!! Yetu macho na masikio
  9. C

    Chikomo asili yake wapi?

    Hodi Hodi wenzangu, Nimekuwa nikifurahishwa sana na mada pamoja na mijadala mbalimbali inayoendeshwa katika forum ya Jamii. Ingawa siku zote nimekuwa msomaji tu, sasa nimeamua kujiunga rasmi. Naamini nitapokelewa vyema na wadau wote. Kwa kuanza na hili la jina la Chikomo, mashaka waliyonayo...
Back
Top Bottom