Search results

  1. Tigga

    Chemsha bongo

    baskeli
  2. Tigga

    Ishawahi kukukuta hii?

    Hahahahahahahaaa..Duh kwani ww umepaonaje?
  3. Tigga

    Msaada wa lugha sahihi

    Duh! Nimekosea njia..
  4. Tigga

    Yuda Exkariote anajadiliwa muda huu ndani ya radio Sauti Ya Amerika,

    Una akili sn sijui ni kwanini tu hujawa "Rais" wetu??
  5. Tigga

    Mavazi ya kanisani balaaa...

    wewe dini ya kweli unaijua??
  6. Tigga

    Kikwete, Je hawa ndiyo majangili?

    Wewe ndiye "GREAT THINKER" wa ukweli..hapa hatutakiwi kujadili vyama
  7. Tigga

    Hawa ndio mizigo na vizigo nchini Tz.

    wee umeona kuna "juma na roza hapa" eh?
  8. Tigga

    hadithi ya kichina iliyosikitisha!!

    niko hoi..mbavu sina
  9. Tigga

    Chezea mpare weye!!

    Itakuchekesha vp nawe huelewi? Ungekuwa mpare ungecheka..wenzio hatuna mbavu huku
  10. Tigga

    Ni vizuri kwenda kwenye msiba. Je ni busara kufanya safari mbili kwa tukio moja?.

    Hawawezi lalamika coz akili zao ni fupi km pua zao..sasa walitaka Rais wetu akae siku zote hizo huko south Africa kwa gharama zipi? au wanadhani kukaa kule ni bure labda km mazishi ya kwetu uswazi waombolezaji wote mnalala chini na kula kande na ubwabwa?? Mijitu mingine humu JF sio Great...
  11. Tigga

    Nini Ambacho Familia ya Mandela Imeficha Ulimwengu Katika Hatua ya Mwisho ya Mazishi

    Wewe vipi? Kwani wakati anatoka udongoni (wakati anazaliwa) kulikuwa na nyomi? Mbona unajifanya hueleeewi??
  12. Tigga

    Salama Jabir anatamani kuolewa na AY

    Nyote mliomponda salama mmejichunguza kasoro zenu?? Tupa kule "Mbululazzzzz"
  13. Tigga

    Na alaniwe kila atoae mimba isemwe ameen.

    Sie wanadamu tuko tofauti sn..Mungu atuhurumie sn wandugu. Wote tuliochangia uzi huu tumekazania "alaaniwe, alaaniwe" Mbona tunahukumu dhambi ya uuaji tu hapo vipi kuhusu dhambi ya uzinzi ambayo asilimia kubwa tunaitenda kila siku iwe kwa kuwaza, kunena au kutenda? Tukumbuke aliyeamrisha "USIUE"...
  14. Tigga

    Chama kipi unakipenda zaidi Kati ya CCM na CHADEMA?

    Kwahiyo ww unafuata mkumbo?
  15. Tigga

    Natafuta mtu wa Kuniloga.

    NGULI Kweli ww "NGULI" Nimekukubali rasmi leo mkuu
  16. Tigga

    nani kaapeliwa ?

    Duh! Mwl wako wa kiswahili aliokuiwa na miwani???
  17. Tigga

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Jicho likiwa moja usicheze na vumbi
Back
Top Bottom