Hata mimi siku hizi simenyi nyanya na nimegundua taste imekuwa improved yale maganda ya nyanya yana taste yake amazing. Halafu unakuwa na takataka chache.
Sio sahihi, kwanza ukisaga nyanya unaifanya kuwa pulpy hivyo unaua fibers ambazo ni nzuri sana kufanya mchuzi kuwa mzito.
Pili mapishi hayalingani, huwezi kusaga nyanya halafu ukaweka kwenye kachumbari.
Kusema mtu hajui kupika kwa sababu hajaweka viungo ambavyo unataka wewe pia sio sahihi...
Kumbuka lazima ujenge miundombinu ya kuuleta huo umeme, na pia lazima kuwepo vituo vya ku boost huo umeme. Na hizo nguzo haziwekwi kabla reli haijatandikwa.
Itakuwa ngumu kuelewa maana huko kwenu hamna vitu kama hivi.
Diesel na Electric even Hydrogen trains zinapita. Tofauti na SGR ya Kenya, Reli hii ina miundombinu ya umeme ambayo inafacilitate treni za umeme kupita. Hivyo ujenzi wake pia huchukua muda.
Huu ni mradi wa design and build, mkandarasi anasanifu huku anajenga. Miradi kama hii mara nyingi huchukua muda mrefu/mfupi kuliko tarehe iliyotangazwa kuisha sababu kubwa kuwa ni changamoto ambazo wanakutana nazo wakiwa wanajenga.
Kwa mfano ingekuwa mradi umeshasanifiwa tayari na mkandarasi...
Kwa wale mnaosema kwa nini reli yetu imechukua muda mrefu, kumbukeni hii ni reli ya umeme, ni ya kisasa zaidi kwenye ukanda huu na hivyo mambo lazima yaende kwa uhakika.
Waswahili wanasema vizuri havitaki haraka.
Sehemu kubwa ya waTanzania sasa hivi wamelelewa mbali kabisa na makuzi ya kikabila, karibia wote wamelelewa na desturi za Kiswahili na ndio maana tunajiita waTanzania.
Toka asubuhi mpaka jioni hamna mahali kabila langu limenisaidia. Kuwa mkurya au mhaya hakuna lolote ambalo nalipata kwa kuwa...
Sumu ya Aflatoxin inatokea tu ikiwa mahindi yalivunda, kama yalikauka vizuri na hayakuingia maji mahindi hayana shida kabisa. Pia sumu hiyo inaua haraka, otherwise ungeona watu wanaanguka kila mahali kwa sababu ya kula ugali.
Sawa inabidi tuchukue tahadhari lakini sio kweli kuwa unga wa dona...
Huku TZ madawati ya shule yanatengenezwa na hao hao local artisans (kama juakali) tena huwezi sikia serikali imetangaza maana ni kitu cha kawaida kwetu ku support viwanda vidogo..
sasa majirani, hizo Bilion 1.9 mna uhakika zitafika kwa wahusika??
Reli itaisha vizuri tu.. tena ukizingatia kipande cha Moro-Dodoma ndo kirahisi na sehemu kubwa imeshafanyika, by 2022 tunaenda Dodoma na treni ya umeme.
Delays kwenye miradi ya miundombinu ni kitu cha kawaida, ukizingatia huu ni mradi wa design and build, ina maana challenges huwa zinakuwa...
Nchi zote za Africa Mashariki zina progress nzuri sana, arguably Kusini mwa Sahara sisi ndo region ambayo tunafanya vizuri (Rwanda, Ethiopia, Kenya, Uganda na Tanzania) tuna Uchumi mzuri sana na uliotulia na ambao unakua kwa kasi.
Haya mashindano hapa jamvini hayamaanishi hatutaki nchi yoyote...
Nilienda once kule Naivasha maeneo ya Kongoni kwenye mashamba ya maua.. almost all of the farms are owned by Muzungus (Dutch and English, some Asians), they have beautiful lake front houses, ila ukitazama maisha ya wafanyakazi wa hayo mashamba kuanzia nyumba wanazokaa inasikitisha sana...
Wengine wanafunga mipaka..
Wengine wanaweka wanajeshi mipakani..
Wengine wapo bize kutangaza maambukizi mapya, ilhali hawawezi kuwatibu wanaoumwa..
Wengine wanapiga push up..
Huhitaji kujua kwenye hili kati ya TZ, UG, KE na RW nani akili kubwa..
My brother, haya mapokezi ya Lisu unaweza kuyalinganisha na mafuriko ya 2015? Kama ni kuamka waTZ waliamka kipindi kile sio leo, na mikwara haijaanza leo ilikuwepo siku nyingi tu. In short yalikuwa ya kawaida sana, yani hata foleni hayakuleta, enzi zile za Lowasa haikuwa hivi.
Kama mchangiaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.