Kwa mujibu ya matakwa ya wajumbe wa bunge maalum la katiba wanaopendekeza uwepo wa serikali mbili, kwamba kuwepo na rais na makamu wawili mmoja kama mgombea mwenza na rais wa Zanzibar awe makamu wa pili, swali RAIS WA ZANZIBAR ANACHAGULIWA NA WAZANZIBAR IWEJE AJE AONGOZE BARA AMBAO HAWAJAHUSIKA...
Wadau kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu wale wote wanaotumia vyeti bandia kujiondoa kwa hiari linafikia tamati leo. Wadau wanasubiri kuona ni hatua gani zitachukuliwa kwa wale waliokaidi amri hiyo, mtihani huu mkubwa wa kwanza kwa mkuu mpya wa Jeshi hilo na timu yake...
Tumekuwa tukiwasikia viongozi mbalimbali wa serikali, dini, siasa na Asasi wakiwasihii UKAWA warudi bungeni kuendelea na mchakato wa katiba, mbona hatuoni nguvu kama hiyo ikitumika kuusihi upande wa pili kwenda kujadili rasimu iliyotokana na mawazo ya wananchi? Iweje ushauri ujikite upande mmoja...
tuwe na serkali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yenye rais mmoja na mawaziri wakuu wawili mmoja wa Zanzibar na mwingine Tanganyika, katiba ya Zanzibar ifutwe tuwe na katiba mmoja tu ya Jamhuri ya muungano wa Zanzibar, kama inashindikana basi Tanganyika iwepo na katiba yake kama ilivyo...
Mbona hawawambii na CCM wakubali kujadili Rasimu iliyopendekezwa na wananchi? au wanaiogopa ccm, kikubwa hapa kila Mtanzania anajua kwanini ukawa waliamua kutoka bungeni ili kulimaliza hili wote wakubaliane kuwa wanaenda kujadili rasimu iliyotokana na mawazo ya wananchi siyo kujadili kitu...
Jamani wana JF naomba kupewa ufafanuzi juu ya hawa mawaziri 4, kuna baadhi ya vyombo vya habari waliandika na kutangaza kuwa mawaziri 3 walifukuzwa ila mmoja alijiuzuru, vingine vingine vilitangaza wamejiuzulu na vingine wakatangaza Rais katangaza kutengua uteuzi wao huku mwingine akitangaza...
Maamuzi yakishatolewa kinachofuata ni utekelezaji, lakini bado wahusika wanayo nafasi ya kukaa chini na kuyamaliza kiubinadamu kwani taratibu, sheria na kanuni zimewekwa na sisi binadamu, walioguswa na maamuzi mnayo nafasi kubwa ya kujitathimini kisha mkachukua uamuzi sahihi ambao ni kuona ni...
Jamani tumsaidieje huyu dada? Wana JF, kuna dada anaomba msaada ili aweze kupata haki yake anayoona inataka kudhulumiwa.
Mdada huyu alikuwa anafanya kazi katika shirika moja linaitwa SEDA tawi la Kagera ila makao makuu yake ni ARUSHA...
Wana JF, kuna dada anaomba msaada ili aweze kupata haki yake anayoona inataka kudhulumiwa.
Mdada huyu alikuwa anafanya kazi katika shirika moja linaitwa SEDA tawi la Kagera ila makao makuu yake ni ARUSHA, kafanya kazi miaka miwili lakini leo kaachishwa kazi kwa kosa la KUBEBA UJAUZITO kabla...
Wadau hizi tuhuma kwa hawa wahusika ni muhimu zikafanyiwa uchunguzi kwani inatupa wakati mgumu kwetu sisi ambao tunawatoto wa kike tuamini kuwa tukifa watoto wetu wataishi maisha ya shida sana, lakini nikijiuliza sipati majibu sijui tumelaaniwa au wapi tumemkosea Mungu tuombe msamaha, siyo...
ROHO YA MAREHEMU IPATE REHEMA KWA MUNGU NA APUMZIKE KWA AMANI. Inauma sana kwa tukio kama hili halafu wanakamatwa wauza gongo na bangi unatangazia umma kuwa watuhumiwa wamekamatwa, pia tunapata mashaka juu ya uhusika wa mlinzi wake kama kweli mlinzi anahusika basi kuna chanzo kimejificha nyuma...
tuwe makini kabla ya kufikia maamuzi ya kujiunga na hiyo jumuiya kwani kwa sasa kumetawaliwa na ubinafsi huku wengine wanatamani wawe marais wa jumuiya hata kabla ya makubaliano, ukujiuliza kwanini,,,,,,,,,,,,,,,, ni tamaa tu badala ya kutoa huduma kwa wananchi.
hongera sana, hata baba yangu angekuwepo leo hii naye angekuwa anafikisha umri kama wa kwako, ninapokuona namkumbuka baba yangu. Mungu akutangulie na akuhepushe na hatari zote za roho na za mwili.:tinfoil3:
Kuna sheria yoyote inayosema kuchimba kaburi ni kazi ya wanaume? haki sawa iko wapi mnayoidai kila siku.:target:GENDER hiyo na ndo tofauti kati ya GENDER AND SEX, kwani tofauti kubwa ya gender ni kuwa inaweza kubadilika laikini sex haiwezi kubadilika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.